Maongezi na waziri mkuu juu ya #ElimuBurePediBure . Taratibu tunajenga uelewa wa pamoja juu ya haki ya watoto wetu wa kike kupata haki yao ya elimu bila kuathiriwa na utoro.
Jana niliwaambia hii ripoti ya CAG kiboko, na wala msishangae mtasikia "Oh vyama vya upinzani vina hati chafu pia" sasa hivi mtasikia @zittokabwe siyo raia 🤣🤣
Yaani ni kwamba bado mwongozo haujatolewa Whatsapp group ndo maana - ngoja wawashe mitambo na kupewa desa 🤣#CAGReport
Muda huu ninavyoandika tweet hii, wamemchukua dada aliyeomba radhi jana kwa kusema yeye ni mtoto wa Mhe. Edward Lowassa ajulikanae kwa jina la Fatuma nyumbani kwake kigamboni.. Habari nilizonazo kwa sasa wanampeleka ofisini kwa Bashite .