what are you up to this weekend? Welcome to Uluguru Family Campsite, Morogoro. Less than 2 hours from Dar es salaam by SGR.
See location and more details 👉👉Uluguru Family Camp Site https://t.co/ccKB3VDKCU
Hauhitaji kuwa na developers ili kuwa na marketplace au e-commerce yako na kuuza mtandaoni! 🚀
🎙️ Maswali na Majibu kuhusu Mauzo by @tunzaaHQ
Kwa nini tulianzisha Mauzo, na inasaidiaje kukuza biashara yako?
Wewe uza, teknolojia tuachie sisi! 🔥
🌐 https://t.co/0309tSDswj
Shabiki wa Liverpool @MoruoKing ametoa maoni yake kuhusu mwenendo wa Manchester United msimu huu, akieleza kuwa hali ya timu hiyo inasikitisha kutokana na matokeo yasiyoridhisha inayoyapata.
Je, unakubaliana naye?
#dimbanikonekti#gametime#tuonavyosisi
Shabiki wa Arsenal, @SkillzSensei amedai kuwa licha ya timu hiyo kuendelea kuvuna matokeo mazuri, kiwango cha burudani uwanjani kimepungua kwa kiasi kikubwa.
Ameongeza kuwa Arsenal ya misimu iliyopita ilikuwa ikitoa burudani kubwa uwanjani kama FM Academia😂,
Nottingham Forest vs Man City
Shabiki wa soka @KINGLUDA18 ametoa mtazamo wake kuelekea mchezo kati ya Nottingham Forest na Man City, akisema kuwa kocha Enzo Maresca bado hajapata uwiano mzuri katika eneo la kiungo.
#dimbanikonekti#gametime#tuonavyosisi
Usikose kutazama Episode mpya ya Game Time kupitia Youtube Channel yetu ya Dimbani Konekti Link ipo Juu kwenye Bio👆
Michezo Mikubwa imejadiliwa ikiwemo
>Arsenal vs Hull City
>Nottm Forest vs Man City
>Crystal Place vs Liverpool
>Sunderland vs Chelsea
>Man United vs Aston Villa
Washkaji wa corporate, viongozi wa vikundi, shule, vyuo, gyms na communities, hii ni yenu! 😎⛰️
Team building, retreats, school trips, fitness adventures au group getaways.🏕️
Karibuni Uluguru Family Campsite, Morogoro! 🌿❤️
Bayern Munich inashuka dimbani dhidi ya Dortmund.
Shabiki wa soka @anDro_Him ameweka wazi kuwa mchezo wa Bayern dhidi ya Dortmund umepoteza mvuto wa kuitwa mechi kubwa kutokana na Bayern Munich kuibuka na ushindi mara nyingi zaidi kwa miaka ya hivi karibuni.
Unaungana naye?
Manchester City vs Brighton 🔥
Shabiki wa Arsenal @Alwatan_moh kuelekea katika mchezo kati ya Man City dhidi ya Brighton,amebainisha kwamba Man City wanakabiliwa na changamoto katika eneo la ulinzi jambo ambalo linaloweza kuwa faida kwa Brighton katika mchezo huo.