@INFLUENCERjr Best players are in laliga and best chance of winning Ballon dor it is ether a player play for madrid or Barca rather than Premier league..
Zamani pia nilikuwa nachukia manesi kwa nini wanawatoa ndugu ya wagonjwa nje, toka nilipoingia kwa mifumo nikagundua wapo sahihi sana.
Ndugu wakiwepo site especially EMD huwa wanaleta ujuaji mwingi na kazi hazitoenda. Wao hupanick sana.
Hongereni sana Nurses wote kwa field❤️