Co anakimbia Kusoma MD kwaajili ya Kuongeza 300k kwenye Mshahara wake wa Awali, Then akirudi Baada Ya Miaka 6 anakuta Co mwenzake Amepandishwa Mara 2 mshahara Umeongezeka 400k 😄 Then wanasubiri kupanda Tena kwa Pamoja
Bwana,nenda mbele yangu leo.
Fungua milango ambayo hakuna mtu anaweza kufunga.
Sawazisha njia zangu,ondoa vizingiti vyote.
Nipe upendeleo mbele ya watu na fursa.
Niongoze kwenye nafasi sahihi na maamuzi sahihi.
Ameen 🙏🏼
Pasaka inatufundisha kwamba hakuna mwanzo mpya bila toba ya kweli, na hakuna amani ya kudumu bila msamaha. Hivyo, tujenge upya misingi ya mahusiano yetu ndani ya familia, urafiki na jamii kwa mawasiliano ya upendo, uvumilivu na heshima.
Happy Easter My Good people 🙏🏼
If this appears on your timeline, may this week open the right doors, protect your heart, and bring you blessings you didn’t see coming.
Happy new week 🫶🏻”