‼️🚨MWANZA CRACKDOWN AHEAD OF MEGA PROTEST‼️
Police are arresting en masse and with no reason young men in #Tanzania in second largest city Mwanza ahead of planned nation wide protests on 7th July
Cc @hrw@AmnestyEARO@WGEID@SenateForeign@SFRCdems@UN_HRC@WorldBankAfrica@IMFAfrica@Europarl_EN@EU_Commission
Ila nikiwashauri huwa mnafanya vice versa alafu yakiwakuta mnasema tumewachafua!!! Niliwashauri acheni kamatakamata! Maandamano hayatazuiliwa na kamatakamata bali kusikiliza na kutekeleza matakwa ya wananchi
Eniwei #SamiaMustGo #Maandamano77
Kwanini kesi ya Mwenyekiti wetu isogezwe mbele kwa mda mrefu kiasi hiki mara tu baada ya chama kueleza mpango mbovu wa polisi hapo kesho.
Chama kimeeleza nia ovu ya polisi dhidi ya chama chetu alafu kesi inasogezwa mbele!!!
Mahakama ya Tanzania inaondoa imani ya wananchi na kuchochea chuki kwa matendo kama haya.
@DannyNgudungi@HildaNewton21 Baada ya mahakama kuu inayoendesha kesi ya uhaini kukataa janja janja ya kuchomekea ushahidi mpya kwa shahidi aliyekwisha somewa maelezo wakati wa commital, wakakata rufaa juu ya maamuzi hayo. Maamuzi ya rufaa yanasubiriwa ili kesi ya msingi irudi na kuendelea mahakama kuu.