🧷🧷🧷
Tunazaliwa kwa makelele
tunapambana na maisha kwa hofu, tunakimbizana na ndoto huku tukiogopa kufeli
—mwisho wa yote, tunadondoka mmoja baada ya mwingine.
Hakuna anayeweza kuzuia muda, hakuna anayeweza kurudi nyuma.
Swali ni: Je, unautumia vema muda wako?
#Life#Time