Siku tutakayokufa, hatutaitwa tena kwa majina yetu. Watasema, “Leteni mwili” au “Shusheni mwili kaburini.” Jina hubaki nyuma. Hivyo, tuishi kutafuta ridhaa ya Muumba, si sifa na makofi ya viumbe.
@mlimaSayuni@Jambotv_ Amesema njia pekee ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuepuka 'matamko' kutoka kwenye Jumuiya za kimataifa kama vile Jumuiya ya Madola ni kujiondoa kwenye jumuiya hizo na si vinginevyo. Ila madeleka unapenda kujiamulia mambo kwaiyo bora tujitoe kaka shikamooh
@joharimshana Uzur ni kwamba @johnmnyika kawapatia maandiko ya kwenye bible na Quran tukufu hivyo somen hata maandiko ya mungu tu hivi vingne ni vitu vya kupita. TUNZAAMANI
@Thommunkondya Mungu ana macho ila binadamu Wana midomo comrade, kupata kitu kinaitwa Taifa ni tuzo bora machoni mwa mungu hivyo msisite kuwa kanya watu katika kauli zinazo leta utata katika maisha ya mtu na ustawi wa nchi yetu 🇹🇿.