@ImoPunter The pot of food has fallen on the marble, you say you have spilled the food,? There you have unloaded the food my friend, it is not spilled or dirty.
@mTusiOriginal Kaka,huyu anaitwa Fransisco the ๐งฒ Magnetic ,Watu tuliwahi weka vijihela vyetu mbuzi ili atufanyie trading (Forex),ikiwa kama Account Management kisha Kila wiki kutulipa Nusu mtaji,lakini tulifaidika Kwa muda zakayo tuu tukashangaa tumebaki na makende
Kimtu kinaleta chuki baada ya kupost kwenye group lake kwamba watu walau wafuate kinafuta post yangu,haya Sasa mi vidau vyangu mchizi,wangefata wakamalia sugu sahivi khanji wangeshamtoa meno ya mbele
Kuna C* Mmoja ana Group lake Sehemu Fulani,alifungua group Kila member achangie Mawazo yake,Akasema tukampe Man U,mimuda huo kitambo nshamuuwa,nikaja kupost hii Nashangaa kafuta post yangu,na mi nikajitoa Kwa group lake,vijitu vimejaa utapeli sana
@AmanWillz Daaah!Huyu Mwamba Simsahau,Niliwahi piga TSH.1245000 Kwa Code yake ya Paripesa,halafu nikuambie kitu,nilikuwa na Vipengere hiyo Siku alinikomboa Kinyama,Big up sana Kwake
@Sativa255 Kusema kweli naona Giza Nene mno katika Tasnia ya Habari hapa Afrika Mashariki,tangu itangazwe Kuna Bilionea mmoja hivi kununua Media kubwa Duniani halafu anatokea hapa Tz,na Hiyo Shirika Ina majukwaa zaidi ya 30 ya Habari,Aisee,Mmmmh!Iko namna hapa,Tule Mtori nyama ziko chini