Staff wa TABUFO wakiwa katika picha ya pamoja na Maafisa wa YAS mmoja kutoka makao makuu Dar es Salaam ndugu Daniel na mwingine Afisa kutoka tigo shop Mtwara ndugu Frank.. Hii ilikua ni katika moja ya kujenga mahusiano kwa watumiaji wa huduma za B2B postpaid.
"On 9 January 2025, TABUFO and WeWorld successfully hosted a "Finance and Program training" for the 9 Civil Society Organizations (CSOs) from Newala TC Tandahimba DC, and Mtwara DC, that had been awarded subgrants under the KUJENGA AMANI PAMOJA project , co-funded by the
European Union. The training was designed to ensure that all participating organizations had a clear understanding of their responsibilities and expectations under the grant agreements. During the training, Participants were guided on how to align their program activities and
Leo tumehitimisha mafunzo ya uandishi wa proposal kwa wafanyakazi wapya wa TABUFO. Mafunzo haya ni hatua muhimu katika kuhakikisha tunaendelea kujenga uwezo wa ndani wa shirika letu na kuimarisha juhudi zetu za kuboresha maisha ya jamii tunayohudumia.
On the picture are TABUFO Staff during a self-reflection and feedback session on the Peace Day Celebration held on September 21, 2021.
The meeting aimed at gathering insights and suggestions to enhance the execution of the future likely events...
Kwa kushirikiana na wadau mbalimbali kama vile Mashirika Yasiyo ya Kiserikali pamoja na Serikali.
Tumeweza kushiriki katika maadhimisho ya Siku ya Mwanamke aishiye kijijini ambapo kimkoa yamefanyika Octoba 15, 2024 katika Halmashauri ya Mji wa Nanyamba,
It was a great pleasure for TABUFO to engage face to face in presenting the success of the implementation of the Kwa Pamoja Tudumishe Amani project to our partners @SearchCommon, we received constructive advice that will further strengthen the execution of our activities.