I advocate ecological farming and wise use of agricultural input technologies for sustainable SOIL HEALTH. Scholar and Consultant..DM for more... (+255)
Tunampongeza na kumtakia kila la heri Prof. Jamal kwa kuaminiwa na Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi kuwa Naibu Makamu Mkuu wa Chuo cha SUZA.
First of all you need to believe in yourself, believe that you can win in this game. Then have faith in your capabilities. Farming needs hope and faith. Money follows your faith & belief
Agriculture can give you hope and money 💰✅
Punguza Red meat, Magoti kuuma sio Ugonjwa wa kurithi kwa Babu.
Tupigie 0762344677
Tuna operate direct from Mwanza kuhakikisha unapata product halisi, quality nzuri ndani ya muda sahihi.
Wanatoka ziwani wanakuja mezani kwako, Kila siku.
Tuamini, tutume, tutatimiza 🙏🏼
PUBLIC ANNOUNCEMENT:
Mbuzi 198 wanauzwa Pugu kwa TSh 130,000/= tu kila mmoja. ✅ Vibali vyote vipo.
Fursa adhimu kwa anayehitaji stock kubwa au herd nzima kwa bei nafuu. 🤝 Room ya mazungumzo ipo kwa mnunuzi makini.
Karibu,kuona ni kuamini
Wahi kabla ya Ijumaa
📞 0762 344 677
Mradi wa umwagiliaji uliojengwa na China unaohudumia eneo la hekta 400 katika kijiji cha Kongogo, katikati mwa Tanzania, unaimarisha kilimo na kuboresha maisha ya wananchi. Mradi huo umeondoa gharama za mafuta kwa shughuli za umwagiliaji na kuwawezesha zaidi ya wakulima 1,000 kulima mazao hata wakati wa msimu wa ukame. Aidha, mradi huo umefungua fursa za ajira na kusaidia kuhamisha ujuzi kwa wananchi wa eneo hilo.
A Chinese-built irrigation project covering 400 hectares in Kongogo village of central Tanzania is boosting local farming and livelihood. The project eliminates fuel costs and allows over 1000 farmers to cultivate crops during dry seasons. Moreover, it also creates job opportunities & transfers skills for local people.
Pata Ceramic toilet 🚽 bora kwa bei nafuu kutoka kiwandani.
✅ TSh 130,000 kwa oda ya vipande 1–10
✅ TSh 120,000 kwa oda ya vipande 10–50
✅ TSh 110,000 kwa oda ya vipande 50–100
Engineer's/mawakala wa maduka karibu kwa punguzo.
🚚 Huduma ya usafirishaji bure!
📞0670989862