@tanpol Poleni wote mliofikiwa na msiba huu mzito, familia zote, watanzania wote. Ni huzuni kubwa sana lakini Mungu atatupa faraja. Hakuna binadamu yeyote mwenye haki ya hukumu. Polisi ni ndugu zetu tunaishi nao mtaani wengine ni wake zetu, marafiki, waumini wenzetu nk. Pole @tanpol