Tumebakisha siku 3 tuu kuelekea MAANDAMANO YETU YA AMANI NCHI NZIMA #D9#MO29 ilitupa Funzo kuwa maandamano ndio njia pekee ya kutuma ujumbe kwa WAKOLONI WEUSI na wakasikia. Lakini ilitufundisha kuwa NJIA PEKEE YA KUWA SALAMA yakitangazwa maandamano ya AMANI NCHI NZIMA ni kutoka kuungana na watanzania wengine.
90% ya wapendwa wetu waliouliwa na kuumizwa kwenye maandamano ya #MO29 walikuwa majumbani mwao na familia zao. Walifuatwa huko mitaani na kupigwa risasi wengine wakafariki wengine wakapata majeraha.
Kwahiyo njia pekee ya kuwa salama yakitangazwa maandamano ya AMANI NCHI NZIMA kama #D9 ni kuungana na watanzania wengine kwenye kudai haki ili kuziba mianya ya WAKOLONI WEUSI KUJITAWALA NA MITUTU YA BUNDUKI NA KUINGIA MITAANI KUTUUWA.
Faida ya Maandamano ya #D9 tumeshahimiza AMANI NA WAANDAMANAJI TUBEBE MABANGO—hiyo ndio njia sahihi ya kutuma ujumbe kwa WAKOLONI WEUSI na dunia kwa ujumla juu ya madai yetu kama TAIFA. Uzuri madai yetu yanajulikana kila mtanzania ana kero zake.
Kwahiyo la msingi ni #D9 njia ya kuwa salama zaidi ni kuungana na watanzania wengine kwenye maandamano ya AMANI NCHI NZIMA.
#D9
#SamiaMustGo
#Disemba9Tunatoka
#SirirNiNamba
#TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Ukichukua idadi ya
-Askari polisi
-Jeshi la wananchi
-Usalama wa taifa
-Askari magereza
-Uhamiaji
Ukiwajumlisha wote hawa nina uhakika wanafika MILIONI 1 pengine na zaidi!!
Kati ya hawa wote 1M, amekosekana SHUJAA MMOJA tu kati yao aamue
ku-side na wananchi????😳😳
Yaani mmoja tu kati ya wote hao??
Ameshindwa ku-take a risk!!??
Hii ni maajabu sanaaaaa!!!
Tanzanians risked their lives to speak to CNN for our investigation despite police warning against sharing that content. We only reported what we carefully verified and nobody has pointed out a single lie.
Thanks to 🇿🇦 SABC News' @Oliver_Speaking for amplifying our work
Mnadeal na mtema mate mnamuacha huru mjambaji!!!
Yani mnaanza kuhangaika kuwatafuta wauguzi waliovujisha video ya Mwananyamala Hospital.
Badala ya kudeal na wauaji!!
Waliowaua hao ndugu zetu mnawaacha huru!!
Faith is not just saying it, it is doing what you believe! If you truly believe, you will act on that belief.
Remember, faith is practical — it acts, it moves, it obeys!
Let your actions align with your confession, for faith without works is dead!
Prayer for the week
Lord Jesus, walk into my life and fix it. Put an end to every power of deception, manipulation , shame, and setback, in the name of Jesus! Amen!
#prayerfortheweek
SCAN THIS QR CODE TO JOIN WISEMAN DANIEL FOR INTERACTIVE ZOOM MEETING THIS SUNDAY, 22ND JUNE 2025, 9AM (GMT +1) CLICK THE LINK BELOW TO JOIN: https://t.co/K7Jfuozo1c
TRUE SUCCESS TAKES TIME AND PREPARATION
Have you been worrying about your future, wondering if you are too young to be used by God or too old to be successful? Remember Samuel, a small boy who, right from childhood, became the mouthpiece of God. What about Moses, whom God used to rescue the Israelites from slavery? Their stories teach us that no one is too old or too young to succeed in life, just as no one is too good or too bad to qualify for God’s grace. The issue is whether you are prepared for what God wants you to be. Nowadays, many seem to desire their duties but are hardly ever prepared for them. Many seem to desire to know what they must do to receive from God but are not prepared to do it.
As a child of God, you must remember that life is not fun and games; it is warfare where only the serious and spiritually minded are victorious. True success takes time and preparation. If we can work hard to ensure that our business, marriage and other endeavours succeed, should we not also prepare to follow Christ wholeheartedly daily? If we exclude God from whatever plans we are making today, we are guilty of the sin of arrogance and self-sufficiency; certainly, we are not prepared for tomorrow. As Christians, we are to acknowledge that He is God and we are not, that He is the Father and we are but His children, that He is the Shepherd and we are straying sheep. When we recognise who we are before God, we will see the need to always consider His will in everything we do, everything we say and in every plan we make.
Prayer: Lord Jesus, give me the grace to be prepared for You daily, in Jesus’ name! Amen!