Official Account of Tanzania Biotech Products Limited.
Manufacturer of Biolarvicides and Biopesticides in Africa
Mob: +255733770770,+255672770770,+255768710770
Timu ya idara ya masoko ikiongozwa na Meneja wa masoko na mauzo wa TPBL wakiongea na uongozi wa mradi wa kilimo uchumi na biashara walipotembelea mradi huo Chuo Kikuu cha Kilimo Cha Sokoine (SUA) Mkoani Morogoro leo na kuitambulisha Biopesticide (THURISAVE -24).
Miners causing widespread gold pillage, and wrecking environmental destruction in the DR CongoMiners causing widespread gold pillage, and wrecking environmental destruction in the DR CongoMiners causing widespread gold pillage, and wrecking environmental destruction in the DR Congo.
Seamless payments. Borderless Africa. Unlocking opportunities through the AfCFTA Protocol on Digital Trade.
Register now for the AfCFTA webinar on Cross-border digital payments under the Protocol on Digital Trade.
📅 24 Sept | 09:00–10:30 GMT | Virtual (Zoom)
🔗 https://t.co/EIqtes3E0A
#AfCFTA #CreatingOneAfricanMarket
Baraza la kutokomeza malaria nchini wakishirikiana na kiwanda cha viuadudu Kibaha pamoja na Kanisa Katoliki Mbeya chini ya Baba Askofu Nyaisonga wameandaa kampeni ya Tokomeza malaria Chunya; Jenga Uchumi.
Katika shughuli hiyo mafunzo ya nadharia na vitendo yalitolewa kwa wanajamii 100 ambao watatumika katika zoezi la upuliziaji viuadudu katika wilaya ya Chunya.
Wakulima wa Tumbaku pia wamefikiwa kwa kupewa elimu juu ya Thurisave 24.
Baraza la kutokomeza malaria nchini wakishirikiana na kiwanda cha viuadudu @TBPL2015 pamoja na Kanisa Katoliki Mbeya chini ya Baba Askofu Nyaisonga wameandaa kampeni ya Tokomeza malaria Chunya; Jenga Uchumi.
Uongozi na Wafanyakazi wa KMTC unawatakia Wafanyakazi na Watanzania wote heri ya Sikukuu ya MEI MOSI 2025.
Karibu KMTC Manufacturing Limited kwa mahitaji ya bidhaa mbalimbali za Mashine na Vipuri.
"Reliable Machines, Best Solutions"
Pamoja tunakuza Uchumi wetu! 🇹🇿
Kwa nyuso zilizojaa furaha na matumaini, Wafanyakazi wa Tanzania Biotech Products Ltd waungana na Wafanyakazi wengine Mkoa wa Pwani kusheherekea Siku ya Wafanyakazi Duniani.
Heko Tbpl,
Heko Uongozi na Menejimenti nzima ya Tbpl
Kwa pamoja tunaweza!
Kwa nyuso zilizojaa furaha na matumaini, Wafanyakazi wa Tanzania Biotech Products Ltd waungana na Wafanyakazi wengine Mkoa wa Pwani kusheherekea Siku ya Wafanyakazi Duniani.
Heko Tbpl,
Heko Uongozi na Menejimenti nzima ya Tbpl
Kwa pamoja tunaweza!
As we wish our Muslim sisters & brothers all over the world Eid Mubarak, our hearts go out to the Palestinians who have been denied the ability to celebrate this day.
May this Eid strengthen all the survivors & grant them resilience in the face of their struggles.
Hongera Mh Rais Dr Samia Suluhu Hassani @SuluhuSamia kwa kutimiza miaka 4 ya awamu ya sita.Tanzania Biotech Products Limited @TBPL2015 imefaidika na uongozi wako na matunda yameonekana kwa kuwapelekea wanachi Viuadudu vya kuangamiza Viluwiluwi wa mbu wanaeneza Malari.
Kuelekea uzinduzi wa mwenge wa Uhuru mwezi Aprili 2025,Halmashauri zote nchini zinakaribishwa kununua viuadudu vya kupambana na mbu wanaoeneza Malari hapa @TBPL2015 kibaha,Pwani.