Wanangu Heri nyie Mlio oa Nimefika Getho vyombo Vichafu Sufuria ndio Kabisa zote zinateleza mafuta nipo njia Panda Nioshe vyombo ndio nipike au Nirudi Tu Mgahawani.๐๐๐
Unakosana na Mpezi wako mnaombana msamaha anakusamehe yanaisha kabisa Halafu baadae anakuwashia Motto upya kwa kosa lilelile. Hapo Ujue alienda kuwasimulia marafiki zake halafu Board ya wakurugenzi wao kama wao hawakukubaliani kabisa na hilo suala la wewe Kusamehewa...๐ ๐ ๐๐๐ฟ
@Innocen89950594 Pale ndio akili huwa jnawajia kuwa hakupaswa kukupa uichakate, huwa wanajihisi wamefanya mistake kubwa sana na kilio ni expression ya majuto kwa alichokifanya na anagundua kuwa zilikuwa ni nyege tu๐๐๐