Dr Thierry John Kabwe, MD. Dietician and Nutritionists, Bsc FND. Passionate with Providing Emergency Medical Services and Medical Innovations through Researches
Kutoka Dom,Feb 25,2022
"Kupitia Mfuko huu wa Dunia tumeweza kutoa ajira za muda mfupi za mkataba ili kuimarisha sekta hiyo kwa kupunguza uhaba wa wataalamu wa afya katika miundombinu iliyojengwa na inayoendelea kujengwa nchini." Amesema Prof. Makubi, Katibu Mkuu-Afya.