Greetings from TIRDO Tanzania. Visit us at https://t.co/9L4JzZG8Yx to learn more about us, you are also welcome to visit our offices at Kimweri Avenue, TIRDO complex Msasani Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda Biashara na Uwekezaji Mh. Ludovic J. Nduhije(katikati) alipotembelea Shirika la Utafiti na Maendeleo ya Viwanda Tanzania (TIRDO). Akiongozana na Mkurugenzi Mkuu wa TIRDO (wa kwanza kushoto).