Our first goal, Mathew tegisi with a shot, keeper rebounds, Michira Brian finds the net.
Yeeeeees, alinyimwa mkopo akaamua kununua benki. Kutoka motonto hadi Toronto Shabana neyemooooo.
#SportPesaNaShabana
Second goal, Osok finds Msagaha, who finds Tegisi, Tegisi with a shot defence clears finds lastborn Austine odongo who nets.
What a way to announce a debut for the 17year old.
Shabana na mwaka huu ni tofouti kabisa.
#SportPesaNaShabana
#𝑩𝒖𝒓𝒅𝒂𝒂𝒂𝒏👏
1️⃣. Hakikisha umetafuta pesa ya kukata tiketi Jumapili
🎫 Jukwaa Kuu(VVIP) 1,000/=, (VIP) 500/=
🎫 Jukwaa Za Kawaida (Regular) 200/=
2️⃣. Umeosha na kutayarisha Jersey yako (Red and White)
3️⃣. Lango kuu na milango zingine zitafunguliwa saa nne juu ya alama saa za Afrika Mashariki.
4️⃣. Njoo ugani Gusii Stadium,Kisii, wewe pamoja na Marafiki kushangilia timu yako kuu Shabana Fc.
5️⃣ Mdhamini @SportPesa
Shabana Fc ni Moja duniani kote.
#SportPesaNaShabana
#ToreBobe
#ToreMorero
RALLYING CALL TO OUR FANS
Tujaze Gusii Stadium Sato.
Shabana Fc VS Posta Rangers Fc
3PM EAT.
🧾 Tickets will be sold physically
Regular 200/-
VIP 500/-
VVIP 1,000/-
Nunua ticket jenga team.
One of the Coolest things you will see on the internet today.
One love for Gen Z and imagine they don't even know each other. Pure love. Tribeless. Leaderless.