MAAJABU YA JOHN F KENNEDY NA ABRAHAM LINCOLN
Abraham Lincoln alichaguliwa kuingia katika Bunge la Marekani mwaka 1846. John F. Kennedy naye alichaguliwa kuingia katika Bunge hilo mwaka 1946. Hiyo ni tofauti ya miaka 100, au tuseme karne moja tangu kutokea kwa tukio moja hadi