Mwanaume mwenye msongo wa mawazo anahitaji vitu vinne (4)
🔸Mungu
🔸Familia yenye Upendo
🔸Marafiki waaminifu
🔸Mazoezi
Kama unajisikia vibaya na mpweke, chagua kimoja wapo, na utakua sawa...!
@fptz66 Ni sensor inayopatikana kwenye mpira ndy inachajiwa, sensor iyo inatumika kwenye kusaidia maamuzi kama offside na kama goal limeingia au la, inasidiana na VAR ,