Jukwaa la washauri na wataalamu wa Teknolojia || Computers || Phones | Softwares || ICT Hardwares and Networking || ICT Security || IoT || AI and Robotics
Inasikitisha jinsi Mitandao ya simu wanavyotumia hizi (pop-ups) kuingiza wazee na wasio na uelewa kwenye huduma za malipo bila uelewa wao. Kila siku tuna-cancel hizi huduma za Ajabu. Huu ni wizi wa wazi kabisa!
Ni Batteries za UPS ya hiyo CT SCAN kwa ajili ya Backup power kama umeme umekatika, Mostly zile Batteries ni 12V 200AH 40Pcs kwenye UPS ya 60โ80KVA, Battery kama hiyo kwenye picha.
Definitely not tech roles. They will give you a live coding test. On a shared screen. With 3 engineers watching in silence. No Google. No ChatGPT. Just you and your lies.
A quick reminder: Avoid scanning your face on social media and dating apps (YouTube, Instagram, X, Reddit, Snapchat, etc.). โ
Stop doing this! Protect your facial data and privacy online.
#DearNyerere Huu mtandaoni pendwa wa X umefungiwa na Serikali lakini bado viongozi na Taasisi za serikali wanaendelea kuutumia. Ni jambo la kushangaza sana.
Leo hii ni 14th October 2026, kwenye nchi za EA ni almost tumebaki sisi tu hatuna Satellite hata kwenye anga la chini. Inabidi tubadili vipaumbele vyetu, tuwe na Space Agency na Space Center hata kwa Partnership. Satellite ina msaada mkubwa sana kwenye nchi kwa dunia ya leo.
Chuo cha DIT kimesema Agosti 1, 2026 kitarusha Satellite Angani, ikiwa ni hatua inayotokana na kuongezeka kwa Ujuzi, Ubunifu na Teknolojia. Hii itakuwa ni Satellite ya kwanza kurushwa angani hapa Tanzania.
Siyo lazima Mkuu, kwenye Tech Interview unaweza ukakuta panel ina mtu mmoja au wawili tu, mwingine kavaa Tshirt ya kampuni, Jeans nyeusi na raba, tena anakuuliza upo comfortable kwenye upande upi wa Tech kabla ya Interview ๐, Mind you Take home ni USD 2500+