Yanga wako kwenye mazungumzo ya moja kwa moja na mshambuliaji wa zamani wa Medeama, Jonathan Sowah (24).
Sowah kwa sasa yuko kwao Ghana baada ya kuvunja mkataba na klabu ya Libya, Al Nasr, hivyo kwa sasa ni mchezaji huru.
Singida Black stars nao wanahitaji saini ya Sowah.