Ukiona unavua kila chupi ujue umaskini utakuandama maisha yako yote ,thamani ya mwanaume hutengenezwa na viwango anavyo jiwekea yeye so kila mwanamke wa ku mla .ukiwa unakula kila mwanamke watu wanabeba maroho,mikosi, nuksi mwisho wasiku utakuja baki navyo wewe mwenywe sio sifa