ZIARA YA BALOZI WA INDONESIA NCHINI TANZANIA KATIKA OFISI ZA TUME YA NGUVU ZA ATOMU TANZANIA KANDA YA KASKAZINI – ARUSHA
Tarehe: 25 Aprili 2025
https://t.co/gpOPN0MVcu
TAEC mnamo tarehe 27 na 28 Machi 2025, ilifanya mafunzo muhimu ya kukabiliana na dharula za kikemikali, kibaiolojia, kimionzi, na kinyuklia (CBRN), mafunzo haya yalifanyika Zanzibar ambapo jumla ya washiriki 24 kutoka katika Taasisi wadau walihudhuria.
https://t.co/lRahqfBkIC
MAFUNZO ELEKEZI KWA WATUMISHI WAPYA WA TAEC YAKAMILIKA
TAEC kwa kushirikiana na Chuo Cha Utumishi Tanzania wamefanya Mafunzo Elekezi ya awali kwa watumishi wapya wa TAEC wapatao 23.
Mafunzo hayo yalifungiliwa tarehe 24 Machi 2025https://www.facebook.com/share/p/14Up21pu5S/
https://t.co/ffbtnlCtJp
Women working at the Tanzania Atomic Energy Commission (TAEC) Headquarters in Dodoma today, March 8, 2025, participated in the celebration of International Women's Day at Chinangali Park in Dodoma.
Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani 08.03.2025 Wafanyakazi wanawake wa Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) wamepiga kambi katika viwanja vya TBA, CCM mkoa wa Arusha kwa lengo la kutoa elimu ya matumizi salama ya teknolojia ya nyuklia na kazi mbalimbali zinazofanywa na TAEC.