MBOWE!MBOWE! Umeamua kutaka CDM ife chama uliyoipigania kwa jasho na damu kwa miaka30 kisa Pesa!. CDM haitakufa kwasbabu Mungu ndie aliyekutoa kwenye uongozi alitaka kukujenga, alitaka UTUBU. Ameendelea kukupa muda wa kutafakari na kujirudi lkn Pesa Shetani wamekuzidi. Filimani
BAVICHA: TAASISI INAYOTENGENEZA NA KUPIKA KIZAZI KIPYA CHA VIONGOZI NDANI YA CHADEMA NA TAIFA KWA UJUMLA
BAVICHA ni kifupi cha Baraza la Vijana la CHADEMA, taasisi ya vijana ndani ya CHADEMA yenye jukumu la kuwaunganisha, kuwaelimisha, kuwaandaa na kuwawezesha vijana kushiriki katika uongozi na harakati za demokrasia
Kwa miaka mingi, @bavicha_taifa imekuwa zaidi ya mrengo wa vijana, imekuwa chuo cha uongozi wa kisiasa mahali ambapo vijana hujifunza siasa za ushindani, uongozi, utetezi wa haki za wananchi na usimamizi wa taasisi za umma
Majukumu Makuu ya BAVICHA ni yapi?
📌Kuandaa Viongozi wa Baadaye
BAVICHA huwapa vijana nafasi za uongozi kuanzia ngazi za chini hadi za kitaifa hivyo kuwajengea uzoefu kabla ya kuingia kwenye nafasi kubwa zaidi ndani ya chama na taifa
📌Kuunganisha Vijana Chini ya Dira Moja
Baraza hili huwakutanisha vijana kutoka maeneo mbalimbali ya nchi ili kushiriki mawazo, uzoefu na kujadili masuala yanayohusu mustakabali wa taifa
📌Kukuza Demokrasia na Ushiriki wa Kisiasa
Baraza hili kupitia semina, mikutano na kampeni mbalimbali, BAVICHA huwahamasisha vijana kushiriki katika uchaguzi, uongozi na maamuzi ya kisiasa
📌Kutetea Maslahi ya Vijana
Baraza hili limekuwa likiibua hoja zinazohusu ajira, elimu, fursa za kiuchumi, haki za kiraia na ushiriki wa vijana katika maendeleo ya nchi
📌Kuimarisha Chama Ngazi za Msingi
Vijana wa BAVICHA huwa mstari wa mbele katika kujenga matawi, kuhamasisha wanachama wapya na kusambaza sera za chama kwa wananchi
Kwa Nini BAVICHA ni Muhimu?
✅ Ni shule ya kwanza ya viongozi wengi wa CHADEMA
✅ Hujenga kizazi kipya cha viongozi wenye uelewa wa siasa na utawala
✅ Huwapa vijana nafasi ya kuonyesha uwezo wao wa uongozi mapema
✅ Ni nguvu kubwa ya uhamasishaji katika kampeni na harakati za kisiasa
✅ Hukuza utamaduni wa uwajibikaji, haki na demokrasia
✅ Husaidia kuibua viongozi kutoka ngazi za chini hadi za kitaifa
✅ Ni sauti ya vijana katika mijadala ya kisiasa na maendeleo ya taifa
Je, Wajua?
Viongozi wengi waliowahi kuwa madiwani, wabunge na viongozi wa kitaifa ndani ya CHADEMA walipitia BAVICHA kabla ya kufikia nafasi hizo. Hali hiyo imeifanya BAVICHA kutambulika na wengi kama kiwanda cha viongozi ndani ya chama
Makonda na Msigwa wako jikoni wamechafuka midomo
ndio maana wana magari ya billion na majumba ya kifahari
Makonda anajenga hapo shoppers Jenga la Mabilioni, almost 15 million anajenga jengo moja na vifaa vyote ana import kutoka CHINA,
Kuna wizara itabaki salama hapo?
1. Pale kwenye gate la Usalama wa Taifa wakati wanarusha risasi kwa nini Usalama awakuingilia kati kama sio Tukio lao
2. Polisi walisema wanaotekwa ni wanaharakati, RCO wa Pwani alijibu kwenye simu kwamba Jumbe ni wale wana harakati, akamwambia mwenye gari wewe rudi kesho uchukue gari lako
3. Polisi mpaka leo wameshindwa kutoa taarifa yoyote hata ya uongo kwamba nini kilitokea, hawajahi kufika kwa wale boda waliokimbiza gari, wala kuzungumza na wananchi walioshuhudia tukio
4. Polisi baada ya kumfungua pingu Jumbe awajawahi sema zile pingu ni za nani, au wamegundua nini kuhusu zile pingu, walimfungua Jumbe zile pingu lakini hawakwenda naye akawaonyesha tulio lilipotokea na kutafuta baadhi ya vitu vyake vilivyodondoka kwenye pori,
5. Wananchi wanasema walimuona Sumai kijana wa Abdul kwenye tukio, lakini huyu jamaa ajahojiwa mpaka leo au kupelekwa kwa wananchi kama watamtambua, kwa nini Polisi wana mlinda Sumai ambaye amekuwa mtuhumiwa wa matukio ya utekaji kwa muda mrefu
@EUinTZ, please do us a favor, post clear pictures of the Tanzanian delegates to the meeting. We need to document who was present and represented us for future reference. A list will also suffice. Asante sana 🤗
UKISIKIA MALIPO NI HAPA HAPA DUNIANI KWANZA NDIO HII SASA
Huyu ndie aliye chelewesha kazi ya uchunguzi wa mauaji ya Mo 29,Tuna shukuru MUNGU amengolewa Sasa tunaweza kwenda kwenye page ya ICC kusukuma agenda ya yetu ya kutaka mahakama Hiyo iongeze na ichukulie kwa uzito Kesi ya kuchuguza mauaji ya October 29. Huyu mwendesha mashitaka amekuwa pia na kashfa za Rushwa na kuhongwa.
‼️ALERT‼️
Thobias Mwesiga kamtumia mtu ujumbe eti aje kuniambia kwamba niache kuandika madudu yake eti nikiendelea yeye “atamwachia Mungu” so nisije kumlaumu.
Mie naelewa hapo anaposema kwamba atamwachia Mungu hamaanishi Mungu huyu wa Mbinguni maana tangu yeye na wenzake ambao huwa anawatumia kuteka walipoanza kuteka, kupoteza na kuuwa watu kuna namna wanajihisi kwamba na wao ni miungu watu so ni wazi kwamba kuna jambo baya anapanga dhidi yangu ndo maana anasema kwamba nisijekumlaumu.
Sasa mkisikia nimepatwa na jambo lolote baya iwe kutekwa/kupotezwa au kuuwawa basi muhusika wa atakuwa ni huyu Thobias Mwesiga, na ujumbe wake nimeutunza lakin pia nimewapa Mawakili wangu wautunze incase ikitokea chochote.
Mliokaribu nae mwambieni hasira na stress zake za kuporwa mabilioni ya pesa ambayo watu wa Gavoo haram waliyakuta ndani kwake baada kumsearch alivopiga mabilioni ikiwemo za project ya CHAUMA atafute wa kumpelekea.
Halafu watu wa Goba naomba mnitumie picha za yale maAppartment ya Mwesiga ambayo alianza kujenga baada ya kuwaliza CHAUMA bilioni 15 ambazo Serikali haram ilitenga kwa ajili ya project ya kuhamisha “watu wa Mbowe” kutoka CHADEMA kwenda CHAUMA.
Ni muhimu watu wajue ili hata wakiamua kupanga wajue kabisa kwamba wamepanga nyumba za muuaji.
‼️🚨 MKUU WA GEREZA LA UKONGA ASIMAME KIDETE‼️
Jamani mi habari yoyote kuhusu Lissu sipuuzi! Hawa wehu wamepanic na inabidi wamwachie maana hali mbaya! Hivu mnakumbuka Rachel jana alitueleza kuwa Sumai alienda usiku wa manane kumalizana na Lissu ila aligonga mwamba?
Sasa hawa wauaji hawajakata tamaa bado wamepanga kumwekea gesi ya sumu so @MagerezaT endeleeni kuwa makini - Lissu atoke mzima! Hizi ni dakika za majeruhi msikosee! Hawa manyangau wasitie mguu kabisa!
Na we Abdul na takataka wenzako KOMA 🚮
#FreeTunduLissu
‼️MPANGO WA JESHI LA POLISI DHIDI YA CHADEMA‼️
Kama mtakumbuka siku kadhaa zilizopita ilisambaa taarifa kuhusu Jeshi la Polisi kuvamia nyumbani kwa Yoramu Mbyela (Huyu kwenye picha) ambae ni mfanyabiashara anaeuza vifaa vya CHADEMA ikiwemo matisheti, bendera, madera, kombati, n.k
Polisi wakiwa na gari aina ya FUSO walivamia nyumbani kwake, wakamlazimisha mke wa Mbyela afungue duka, kisha wakabeba na kuondoka na mzigo wote wa vifaa vya CHADEMA ambao waliukuta dukani kwake.
Mke wa Mbyela pamoja na Wakili wao wamefuatilia huo mzigo wao, Polisi wakarudisha baadhi ya vitu lakin mzigo mkubwa wakakataa kurudisha mpaka leo bado wamebaki nao.
Sasa nimejulishwa kwamba Jeshi la Polisi wamebaki na huo mzigo kwasababu wanampango wa kuutumia kufanikisha mpango wao dhidi ya CHADEMA hii ni kutokana na hofu waliyonayo kuhusu Maandamano ya 7/7 yani Julai 7, 2026.
Wamepanga kuwavalisha nguo za CHADEMA watu wao ambao ni Green guard, UVCCM na baadhi ya migambo kisha watawapeleka huko porini ambapo badae Polisi watajifanya kwamba wamevamia eneo hilo baada ya kupata taarifa kutoka kwa Wananchi kwamba waliona kuna kundi la watu ambao hawajui ni akina nan.
Baada ya Polisi kuvamia eneo hilo watautangazia umma kwamba Vijana wa CHADEMA wamekamatwa huko porini wakiwa wanapewa mafunzo ya kijeshi kwa ajili ya Maandamano ya Julai 7 ili Msajili apate sababu ya kuingilia kati aseme kwamba CHADEMA imevuja sheria ya vyama vya Siasa maana Sheria ya Vyama vya Siasa ilipiga marufuku vikundi vya ulinzi na mafunzo ya kijeshi mwisho wa siku CHAMA kinaweza kufutwa.
Lakin pia Jeshi la Polisi litakuwa linawavalisha UVCCM hizo nguo za CHADEMA kisha wanawatuma kwenye mikutano ya hadhara ya CHADEMA kufanya fujo ili ionekane CHADEMA wanagombana wao kwa wao.
Sasa ni muhimu sana Wanachama wenzangu mnapoenda kwenda Mikutano, hakikisha unamtambua mtu ambae umekaaa nae jirani ukiona kuna mtu/watu huwaelewi toa taarifa kwa Viongozi wa CHAMA, hawa wahuni wakivamia mikutano yetu inatakiwa muwape HAKI YAO YA KIKATIBA.
Cc @OversightBoard kindly refer to this case that was submitted along side mine! 👇🏾
Recently you did say that the majority such arbitrary suspension of accounts were not in line with the policy of @Meta
Kindly see to the restoration of @mangekimambi ‘s account that also holds crucial EVIDENCE of corruption and crimes against humanity!
This is a very serious issue that is currently filed with @IntlCrimCourt
Thank you in advance
CHADEMA ni kifupi cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo, kilichoanzishwa mwaka 1992 baada ya kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi nchini Tanzania
Chama hiki kilianzishwa kwa lengo la kutetea:
✅ Demokrasia
✅ Haki za binadamu
✅ Uwajibikaji wa viongozi
✅ Utawala wa sheria
✅ Maendeleo ya wananchi
Kwa miaka zaidi ya 30, CHADEMA imekuwa miongoni mwa vyama vikuu vya upinzani nchini, kikishiriki uchaguzi mbalimbali na kutoa viongozi katika ngazi za udiwani, ubunge na serikali za mitaa
Miongoni mwa misingi ambayo chama kimekuwa kikiisisitiza ni:
• Katiba Mpya yenye ridhaa ya wananchi
• Tume Huru ya Uchaguzi
• Uwajibikaji katika matumizi ya fedha za umma
• Kulinda haki na uhuru wa wananchi
Dar es Salaam stand up
✊🏽
Tarehe 11 June lazima kusimama na Tundu Antipas Lissu mahakamani
Na nyie @tanpol huyo George Bagyemu na bosi wake wajishikilie siku hiyo tusisisikie watu wamezuiwa kuingia mahakamani!
#FreeTunduLissu
VIDEO:
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la CHADEMA (BAVICHA) Taifa, Wakili Deogratias Mahinyila, amempa onyo kali Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Kenani Kihongosi, akimwambia kuwa hana hadhi ya kiushindani wala ngazi ya kisiasa kuketi meza moja ya mdahalo na viongozi waandamizi wa upinzani kama Godbless Lema, John Heche, na Joseph Mbilinyi (Sugu).
Akizungumza wilayani Karatu mkoani Arusha jana Jumapili, Juni 7, 2026, wakati wa ziara ya Operesheni Katiba Mpya, Mahinyila amesema Kihongosi ni mtu anayetumwa na mabosi wake, hivyo hapaswi kujitafutia umaarufu kwa kutaja majina ya viongozi wakuu wa CHADEMA.
Kufuatia hatua hiyo, Mahinyila ametoa agizo rasmi kwa mtandao wa wanafunzi wa vyuo vikuu wa chama hicho (CHASO) nchini kote, kusimama imara na "kushughulika" na mwenezi huyo wa CCM kwasababu wao ndio saizi yake kiakili na kishabiki.