Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda, George Mbilinyi, pamoja na Mhandisi wa Halmashauri hiyo, kutoa maelezo kuhusu ujenzi wa jengo la Hospitali ya Wilaya ya Bunda lililojengwa katika eneo lenye maji na kuanza kutitia.
Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko, ametoa siku 14 kwa uongozi wa Chama cha Ushirika cha Mkombozi AMCOS kurejesha na kuwalipa wakulima wa tumbaku shilingi milioni 133, baada ya kubainika kuwepo kwa ubadhirifu wa fedha za mauzo ya msimu wa 2024/2025.
#TaifaDigital#virałre
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Septemba 30, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa madereva wa mabasi na malori nchini, katika Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es Salaam.
#TaifaDigital#bongoupdatetrends#millardayo#nairobi#virałreels
Kufuatia Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando kuwataka madereva kuyaondoa mabasi yao katika Stendi ya Magufuli kwani muda wa kukaa ndani ya stendi hiyo umeisha, Polisi wameanza kuondoa namba za magari kwa mabasi ambayo madereva wake hawajayaondoa.
#TaifaDigital#millardayo
Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limetangaza kutokea kwa moto mpya katika eneo la Sangarini-Kamwanga kuelekea Shira, ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Kilimanjaro, mkoani Kilimanjaro, huku juhudi za kuudhibiti zikiendelea.
#TaifaDigital#millardayo#EastAfricaTv#Tanapa
BREAKING NEWS: Mh. Hafidh Ameir Hassan, ambaye ni mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefariki dunia.
Taarifa hiyo ya msiba imetolewa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi.
#TaifaDigital
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi akishiriki Adhimisho la Misa Takatifu ya kuwekwa Wakfu Mhashamu Vincent Mpwaji, kuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam.
#TaifaDigital
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana ya Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Mohamed Kawaida amesema aliyekuwa Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi amefukuzwa CCM kutokana na utovu wa nidhamu baada ya kuitwa na Chama lakini akakataa kufika katika Kamati ya Maadili.
#TaifaDigital
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi ameapa kushika wadhifa huo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika hafla iliyofanyika Ikulu ya Chamwino, Dodoma.
#TaifaDigital
Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amekutwa na kesi ya kujibu katika kesi ya uhaini inayomkabili inayoendelea katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ya Dar es Salaam hivyo sasa ametaja mashahidi wake wa kumtetea.
#TaifaDigital
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Felix Tshisekedi, wameingia makubaliano ya kimkakati ya kushirikiana katika sekta ya madini kupitia ubadilishanaji wa ujuzi, uchimbaji, uongezaji thamani.
Uamuzi kuhusu Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kutolewa Agosti 21, 2026 ambapo uamuzi huo utaweka wazi iwapo Tundu Lissu ana kesi ya kujibu au laa.
#TaifaDigital
Bei ya mafuta ghafi aina ya Brent imeendelea kupaa kwa kasi na kuvuka dola 92.28 kwa pipa asubuhi ya leo, huku matumaini yaliyokuwa yameanza kujengeka ya kushuka kwa bei ya bidhaa hiyo yakizidi kufifia baada ya Iran kuufunga Mlango wa Hormuz na washirika wake, waasi wa Houthi.
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na uongozi wa Benki ya STANBIC ukiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi, Bw. Patrick Rutabanzibwa, akiwa ameambatana na Afisa Mkuu Mtendaji wa Benki hiyo, Bw. Manzi Rwegasira.
#TaifaDigital
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma, tarehe 16 Julai, 2026.
#TaifaDigital
Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), limeidhinisha kutolewa mara moja kwa takriban dola za Marekani milioni 443.9 kwa Tanzania baada ya kukamilisha tathmini za mwisho chini ya programu za Extended Credit Facility (ECF) inayohusisha upatikanaji wa mkopo nafuu.
#TaifaDigital
Ofisi ya CHADEMA Kanda ya Kati imemsimamisha uongozi Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Morogoro, Barnabas Okola, kuanzia Julai 9, 2026, kwa tuhuma za kukiuka maadili ya viongozi na katiba ya chama.
#TaifaDigital
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewaonya Watu wanaojiita Wanaharakati huku akisisitiza kuwa vitendo vyovyote vya ugaidi havitavumiliwa Nchini.
#TaifaDigital