Mambo, sheria, kanuni na taratibu za utajiri mwachie mwenye utajiri wake. Wewe subiri utajiri wako tutakuchia Mambo, sheria, kanuni na taratibu za utajiri wako.
#Usilete ujuaji na ujaji kwenye utajiri wa mtu. #JustFight.
Magonjwa yasiyopewa kipaumbele kama vile Ukoma,Minyoo,Mabusha na Matende yamekuwa yakiathiri zaidi ya watu Billion 1 duniani .
Nashukuru kupata nafasi kama kijana kukaa katika meza na watalaamu kutoka taasisi mbali mbali zinazojihusisha & kupambana ..1/2
#beatNTDs@tonytogolani
Community engagement is the only & best countermeasure that should be implemented effectively worldwide to tackle Antimicrobial Resistance #AMR. Beating #Superburgs#AMR needs critical thinking on how to reach the communities. #congratulations to @MuhasTamelasa 💪💪