TALIRI KUENDELEZA UTEKELEZAJI WA PROGRAM YA BBT
Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRI) yajipanga kuendeleza utekelezaji wa Programu ya Jenga Kesho Iliyobora (Building Better Tommorow - BBT) .
Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Utafiti wa Kilimo na Mifugo ya Zanzibar (ZALlRI) Bw. Jabir Shaban atembelea TALIRI kujionea teknolojia za mifugo zilizoibuliwa na Taasisi hiyo.
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw. Gerald G Mweli ameipongeza Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRI) kwa utoaji wa elimu ya ufugaji bora kwa wafugaji.
The high-quality pasture produced at the Tanzania Livestock Research Institute (TALIRI) Tanga model farm is the results of good relationship and collaboration in quality pasture research between TALIRI and the Irish Agriculture and Food Development Authority (Teagasc)
TALIRI is proud of the support and excellent collaboration with Teagasc as it sees the green light for success in improving the genetics of dairy cattle due to the presence of good pastures of well developed farm under the sponsorship of the Embassy of Ireland in Tanzania.
Katika kipindi cha miaka minne (2021/2022 - 2024/2025) Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRI) imefanikiwa kusajili aina tano za mbegu za malisho
Watumishi TALIRI ndani ya viwanja vya bombadia Singida katika kuadhimisha siku ya wafanyakazi duniani.
Huku Mgeni rasmi akiwa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Kauli mbiu; “Uchaguzi Mkuu 2025 utuletee Viongozi Wanaojali Haki na Maslahi ya Wafanyakazi, Sote Tushiriki”
Watumishi TALIRI wakiwa kwenye maandamano ya sherehe ya Mei Mosi (Siku ya Wafanyakazi) Mkoani Singida ndani ya viwanja vya Bombadia ambapo kitaifa siku hiyo imeadhinishwa mkoani hapo.
“Uchaguzi Mkuu 2025 Utuletee Viongozi Wanaojali Haki na Maslahi ya Wafanyakazi, Sote Tushiriki”
Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi wa Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRI) tunakupongeza kwa kuchaguliwa kuwa Mtumishi Hodari wa Taasisi kwa mwaka wa fedha 2024/2025 endelea kutekeleza majukumu yako kwa bidii.