Tanga City Cup 2026 imehitimishwa rasmi katika viwanja vya Lamore huku Chumbageni ikitwaa ubingwa kwa penalti dhidi ya Ngamiani Kati.
Mashindano hayo yalishirikisha timu 32 na kuendelea kuwa chachu ya vipaji, mshikamano na fursa kwa vijana wa Jiji la Tanga. #TangaCityCup2026
Katika kuhakikisha sekta ya elimu inaendelea kukua kwa maendeleo ya Taifa, Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga, Rashid Mchatta, ametembelea na kukagua miradi ya elimu katika Jiji la Tanga, kwa lengo la kuangalia Jiji linavyoshughulikia changamoto ya upungufu wa madarasa na mabweni.
Maadhimisho ya Siku ya Amani katika Wilaya ya Tanga yamefanyika katika kata ya Kiomoni.
Mkuu wa Wilaya ya Tanga Mhe. Hashim Mgandilwa na Diwani wa kata ya Kiomoni, Mhe. Mohamed Mfundo wakirusha ndege aina ya njiwa kwenye maadhimisho hayo.
#Kikaokazi
Mkuu wa Wilaya ya Tanga Mhe.Hashim Mgandilwa leo amekutana na Watumishi wa Jiji la Tanga, ngazi ya Mtaa, Kata,Waratibu Elimu Kata,Wakuu wa Idara na Vitengo na Watumishi wote waliopo Ofisi Kuu Ya Halmashauri katika Kikao cha Utambulisho na Maelekezo ya Utendaji kazi
Tanga Ya Ubunifu wa Kisayansi kwa Vijana na Watoto wa Jiji la Tanga.
Kwa Maendeleo ya Jamii ya Tanga na Tanzania kwa Ujumla.
@FondationBotnar#tangajijiupdates
PUMZIKA KWA AMANI HAYATI DKT.JOHN POMBE MAGUFULI.
Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga Mhe.Abdulrahman Shillow amesema hakika Wananchi watamkumbuka kwa Miradi mikubwa ya Kimkakati iliyotekelezwa na inayoendelea kutekelezwa katika jiji hili.
#tangajijiupdates
Karibu Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan katika Jiji letu la Tanga.
Kesho Tarehe 17/03/2021.
Baada ya Kutembelea, Kukagua na Kufungua Viwanda mbalimbali vya Wawekezaji ataongea na Wananchi wa katika Viwanja vya Tangamano. @ummymwalimu
#ziarayamakamuwaRais
Ziara ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan.
Tarehe 17, Machi 2021.
Katika Wilaya ya Tanga Mjini
#TangajijiUpdates
#SikuYaWanawake
Tunatambua na Kuthamini Michango yenu katika Maendeleo ya Wilaya ya Tanga.
“Wanawake Viongozi Chachu Kufikia Dunia yenye Usawa”.
#tangajijiupdates
#sikuyawanawakeduniani
Tunatambua na Kuthamini Michango yenu katika Utoaji wa Huduma za Afya Jiji la Tanga.
“Wanawake Viongozi Chachu Katika Kufikia Dunia yenye Usawa”.
#tangajijiupdates
#sikuyawanawakeduniani
Tunawatambua na Kuthamini Michango yenu katika Maendeleo ya Jiji la Tanga mkiwa kama Walinzi wa Amani katika kata na Watendaji wa Kuu ngazi ya Kata.
“Wanawake Viongozi Chachu Kufikia Dunia yenye Usawa”.
#tangajijiupdates
#SikuYaWanawake
Tunatambua na Kuthamini Michango yenu katika Maendeleo ya Jiji la Tanga.
“Wanawake Viongozi Chachu Kufikia Dunia yenye Usawa”.
#tangajijiupdates
#SikuYaWanawake
Tunatambua na Kuthamini Michango yenu katika Maendeleo ya Jiji la Tanga.
“Wanawake Viongozi Chachu Kufikia Dunia yenye Usawa”.
#tangajijiupdates