๐๐๐๐๐๐๐๐: Tajiri wa mwisho wa Kikristo aliyepambana na Manji, Rostam, Subhash Patel ni Dr. Reginald Mengi, alimuinua Godfrey Simbeye wa TPSF amsaidie ikakataa
Kwenye kitabu cha I CAN, I MUST, I WILL Mengi anasema muda mrefu wa darasani hukwamisha wakristo kuwa matajiri
โMuch love, my friendโI miss you deeply. You are still one of the finest brains this country has. Iโm keeping you in my prayersโmay God give you the courage, strength, and resilience to rise above every challenge before you.โ
Kuwa mwanachama wa CCM kuna baadhi ya vigezo lazima uwe navyo. Uchawi, Unafiki na Uganga hasa. Ukiwa na vyote hapo unakuwa kiongozi kabisa. Wachawi watabisha
Ndugu zangu Watanzania, huyu ndugu anaitwa George Wayanga amewahi kuwa kiongozi mkubwa chadema Chunya. Baada ya kupata tatizo na kukatwa mguu, chadema imemtupa. Sasa anahitaji msaada wetu Watanzania. Mwenye chochote anaweza kumchangia kwa M-PESA 0760638604 Jina George Wayanga.
Kwa namna alivyo nitukana lazima JANJA nimrecord, lazima niwa bless wanangu ka connection, akizungusha shanga Kwenye Uno lake..!!
Leo nataka Heshima sina maneno Mengi.