TANZANIA History Official Page. Ukurasa wa Historia ya #TANZANIA. Retweets & Likes not endorsements. Photo credits go to its owners. Hashtag #TanzaniaHistory
Nimepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Balozi Paul Rupia. Tumeondokewa na mtu aliyetoa mchango mkubwa katika masuala ya kidiplomasia, mageuzi ya kiuchumi na utumishi wa umma, na aliyeweka mbele maslahi ya Taifa. Mungu amweke mahali pema. Amina.
DC WA KIKOLONI AJIUA, KISA WIVU WA MAPENZI:
Hili ni kaburi la Mkuu wa Wilaya wa kwanza Bagamoyo Bw. William Francis Bamphilde (Mzungu) aliyejinyonga baada ya kumfumania mke wake akifanya tendo la ndoa na mfanyakazi wake Mswahili.
Picha kwa hisani ya Victor Richard (Msafiri).
Hassan Mwakinyo caused a 𝐇𝐔𝐆𝐄 upset against Sam Eggington when he last fought in the UK 💥
Will he do the same again against Liam Smith? 👀
#SmithMwakinyo | @Boxxer | September 3rd