Tanzania Interfaith Partnership (TIP) is a consortium of national faith Organizations that have become partners in the effort to mitigate the impact of HIV/AIDS
Mkutano wa Wanawake Mashuhuri na wenye ushawishi wa uongozi uliondaliwa na shirika la TIP tarehe 11/7/2020 ukiongozwa na Mada isemayoโ Wanawake wana nguvu, tubadili mtazamo wa kidunia juu ya nguvu ya Wanawake. Mgeni rasmi ni mkuu wa wilaya ya Nyamagana Dr.Philis M.Nyimbi