UZINDUZI TK MOVEMENT ARUSHA.
Ahsanteni sana Arusha kwa kupokea kwa nguvu kubwa jukwaa la vijana na Wanawake TK Movement. Ilikuwa siku nzuri ambapo maandamano ya Amani ya kupongeza juhudi za serikali ya Awamu ya sita ya kuleta maendeleo.
Aidha washiriki walipata fursa ya kujifunza masuala ya Uzalendo, Utaifa, Kujitolea na Masuala ya maadili ya taifa. Vilevile washiriki walichangia Damu chini ya mpango wa Damu salama na Redcross Tanzania ulifanyika uhamasishaji kwa vijana na wanawake kushiriki na kugombea katika
Mratibu wa TK-Mtwara Ndg. Naseem Makombe amewaongoza viongozi wa Mkoa kukabidhi RISALA ya UZINDUZI kwa Mhe. Mwanahamisi Kumkunda, Mkuu wa Wilaya. Aliombwa chumba cha ofisi na kuahidi kulifanyika kazi.
Pia amepokea zawadi ya SABUNI YA MAJI iliyotengenezwa na wana TK
Picha za matukio Mbalimbali Katika Uzinduzi wa TK Movement Mkoa wa Mtwara Tarehe 29 Juni, 2024 Katika Ukumbi wa Mtwara Tech.
#tkmovement#TaifaLetuKeshoYetu
TAARIFA YA KIKAO CHA MAANDALIZI YA UZINDUZI TK MKOA WA KATAVI
Viongozi wa Tk Movement mkoa wa katavi wakiongozwa na mratibu AFRED HAMISI MABINA Leo Tarehe 23/06/2024 kuanzia muda wa saa 7:20 Hadi za 20:50 usiku
kikao hicho ni kwaajili ya maandalizi ya uzinduzi wa TK MOVEMENT
Uongozi wa TK Mkoa wa Mwanza umefanikiwa kufanya Semina ya Ujengaji Uwezo kwa Viongozi na Wajumbe wa Idara zote za TK Movement kutoka kwenye Wilaya zote Mkoani Mwanza.
Mgeni rasmi katika mafunzo hayo alikua ni Mkuu wa Wilaya ya Ilemela, Mh. Hassan Masala
TK MOVEMENT INAWATAKIA WATANZANIA WOTE HERI YA SIKUKUU YA EID AL ADHA
#TaifaLetuKeshoYetu#MamaYetuTaifaLetu
Imetolewa na;
Idara ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) TK Taifa.
ποΈ 14 JUNI, 2024
πMwanza
Tarehe 14 Juni, 2024, Mratibu wa TK Movement Mkoa wa Mwanza Ndg. Abdulrahman Kange ameongoza Kikao cha Maandalizi kuelekea Uzinduzi wa TK Movement Mkoa wa Mwanza.
Kamati ya uratibu ya TK Movement mkoa wa Rukwa ikiongozwa na mratibu Msaidizi wakiwa katika picha ya pamoja na mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh Makongoro Charles Nyerere wakati wa zoezi la kujitambulisha na kuitambulisha TK Movement kwa Mkuu wa mkoa wa Rukwa