Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameungana na waumini wa Kiislamu katika Sala ya Ijumaa na kushiriki ufunguzi rasmi wa Msikiti wa Abrar, Fuoni Kibondeni, Mkoa wa Mjini Magharibi.
Tukio hilo limeangazia mshikamano, amani na
πΉπΏ President Samia Suluhu Hassan has sent condolences to HH Sheikh Tamim Bin Hamad Al Thani and the people of Qatar following the passing of Father Amir Sheikh Hamad Bin Khalifa Al Thani.
Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un. ποΈπΆπ¦
#Qatar#Tanzania#SamiaSuluhuHassan#Doha
πΉπΏ Maridhiano ni msingi wa Taifa lenye nguvu.
Mazungumzo kati ya CCM na ACT-Wazalendo Zanzibar yanaonyesha kuwa tofauti za kisiasa zinaweza kutatuliwa kwa mazungumzo, huku amani, umoja na maendeleo ya wananchi vikipewa kipaumbele.
Amani hujengwa kwa maridhiano, si kwa migogoro.
π€π· Maridhiano hujenga Taifa imara. Amani, umoja na mshikamano ndiyo msingi wa maendeleo ya kweli. Tanzania inaendelea kuonyesha kuwa mazungumzo yanaweza kuleta suluhisho na kuimarisha mustakabali wa wananchi. π·#Tanzania#Maridhiano
Uteuzi mpya, matumaini mapya! πΉπΏ
Rais Samia ameapisha viongozi wapya Ikulu, Dar es Salaam, ikiwa ni hatua nyingine ya kuendelea kuimarisha utendaji wa Serikali.
π¬ Je, una ujumbe gani kwa viongozi wapya? Tuandikie kwenye maoni.
#Samia#Tanzania#Ikulu#Uongozi#UmbrellaTanzania
π€π· Maridhiano hujenga Taifa imara. Amani, umoja na mshikamano ndiyo msingi wa maendeleo ya kweli. Tanzania inaendelea kuonyesha kuwa mazungumzo yanaweza kuleta suluhisho na kuimarisha mustakabali wa wananchi. π·#Tanzania#Maridhiano