Kujua ukweli bila kuuchukua hatua ni aina ya kujidharau. Unapojua nini kinakurudisha nyuma na ukaendelea kukifanya, wewe mwenyewe unakuwa kikwazo chako kikubwa. Hakuna adui hatari kuliko tabia unayoilinda kwa visingizio.
Watu hawakuumizi kwa bahati mbaya, wanafanya kile wanachoweza kwa kiwango chao cha ufahamu.
Na mara nyingi watu huendelea hukaa kwa sababu wanatarajia kuna siku watabadilika.
1. Kuogopa kupoteza mtu sio ishara ya upendo, ni hofu ya upweke. Upendo hauishi kwa hofu; attachment huishi humo.
2. Wengi hawapendi, wana-attach.
Wanapenda jinsi unavyowafanya wajisikie, sio wewe ulivyo.
THREAD 🧵
Unapenda kujitenga pale unapokuwa kwenye shida ama wakati mgumu kwasababu ulitengwa tangu mtoto; Haukisilizwa wala kukupewa nafasi ya kuongea ulichotamani kusema. Ulifundishwa kuwa kuonyesha vile unavyojisikia ni udhaifu.
WASAMEHE WAZAZI WAKO.
Sio kwa sababu hawakukosea, bali kwa sababu walikuwa wanatoa kile walichokuwa nacho. Wao pia walikuwa watoto waliokua bila kuponywa. Walilelewa na hofu, ukimya, ukali, au kutothaminiwa na wakarithi hiyo kama “kawaida.”
THREAD 🧵
"MUNGU NI MWANAMKE"
Watu wengi hawana tatizo kusema “Mungu ni mwanaume” kwa sababu wamezoea lugha hiyo. Wanasema haimaanishi jinsia, bali nishati ya uongozi, mamlaka, ulinzi m, yaani masculine energy.
THREAD
Fasting sahihi ni lazima unywe maji.
Lazima iambatane na malengo pamoja na mchakato wa kujiconnect na malengo hayo siku hadi siku.
Fasting ni kuachilia, kusaficha na kupokea.
Naanza zoezi la kufunga/fasting kwa siku saba kuanzia kesho. Kama kuna mtu naye anafunga anaweza jumuika Dm tukaelekezana namna sahihi za kufanya fasting ili iwe perfect zaidi.
Day 24 Mantra.
Ninaamini safari yangu hata kama haieleweki kwa wengine. Kila hatua ndogo ninayochukua inanileta karibu na wingi wangu. Niko tayari kupokea, na naweza kubeba ninachopokea.
1. Naamini sasa Watanzania wote tumeelewana juu ya hiyo tume ya mchongo…
2. Msisitizo juu ya maandamano ya kushtukiza, tuchukue advantage ya mikusanyiko yoote mikubwa
Angel Number 888 inahusiana na pesa na wingi(abundance) but sio katika namna ya kimiujiza. Ukiona ni unakumbushwa:
1. Unakumbushwa kufanya maamuzi ya ki-abundance
2. Kuacha mindset ya kimaskini
3. Kuacha kutumia pesa kwa hofu au kujilaumu
Kuheshimu kile unachopata ili kipanuke.
Day 22 Mantra.
Leo nachagua mahusiano mazuri na pesa. Ninaruhusu mafanikio yanikute bila hofu wala haraka.
Ninajua thamani yangu, na kazi yangu inalipwa ipasavyo. Pesa inanifuata kwa sababu nipo tayari kuipokea.
Ninajenga mafanikio ya kudumu, sio ya haraka tu.
Sometimes tunasamehe watu sio kwa sababu wanastahili, sio kwabsabau sisi ni dhaifu, sio kwa sababu walijieleza vizuri au waliomba msamaha kwa wakati sahihi. Tunasamehe kwa sababu tunastahili kuishi kwa amani.
THREAD 🧵
Hakunaga life B. Hakunaga rehearsal. Maisha hayatuulizi kama tuko tayari, yanatokea tu. Kila siku inakuja mara moja, inakaa kidogo, halafu inaondoka bila kuaga. Na sisi tunabaki tukijiuliza kwanini tuliishi kama wageni kwenye maisha yetu wenyewe.
SHORT THREAD 🧵
Watanzania, tupo pazuri na tunaelekea pazuri. Najaribu sana kutokuongea too much mambo ya background ila soon mtaona matokeo, cha msingi ni kwamba wooote nchi nzima tuwe focused, hakuna kurelax.