Tunapenda pia kutoa special recognition kwa wale wote walioonyesha efforts, timu itawasiliana nanyi na kila mmoja wenu atapata kitabu cha mapishi ya viazi mviringo.
Hongera sana @amprincess9#shindanolamapishi
Malisa akishirikiana na raia wengine wamepabana hadi mjane amepata nyumba ambayo imejengwa kwa michango ya wananchi.
Tumpe mwana maua yake kabla hajapigwa chepe kwenye futi 6.
The energy drink company @redbull's marketing used to be absolute garbage...
Indeed, you read that right.
When @redbull entered the energy drink market, no one knew what it was or who they were.
They had to build up a brand identity.
So over the span of a few of months, their marketing team filled London’s trash bins with empty cans of Red Bull, strategically near clubs and nightlife destinations.
The goal was to create the illusion of popularity. By filling the bins of London with empty Red Bull cans, people would draw the conclusion that Red Bull was THE energy drink of choice.
After all, it was what everyone was drinking…right?
Would-be consumers assumed that Red Bull was popular for a reason, which steadily began to influence purchasing decisions.
Today? Red Bull has over 43% global market share* of the energy drinks sector, making it by far the most popular out of its competitors.
Kwa jinsi taasisi nyingi Bongo zilivyochukulia serious kusheherekea week ya customer service,I wish wangekuwa wanafanya walau robo ya nguvu hii kumhudumia mteja kwenye majukumu yao ya kila siku!Tunachangamoto sana kwenye utoaji wa huduma
#HappyCustomerServiceWeek#TeamService
So, yes performance zetu (sio Wasafi tu) nyingi ni subpar! Tuombe na tutamani zi improve… ukiona zinasua sua, jua kuna mengi tu na wakulaumiwa sio Msanii peke yake.
Na 500k sio excuse ya bad show, na kiuhalisia sio hela ndogo vile vile… tusiisogoshe na kuna watu hawaipati.