@fuad_fx_@ummymwalimu Loh sio sweikali itagute sababu kwanini na kurekebisha changamoto. Yaani mtu avuje jasho asome na atumikishwe kwa lazima sehemu askhoitaka🤔🤔🤔
@OriginoZee17 Kwa experience yangu huu ni utapeli. Kuna stage mkifika atakuambia utume hela ya mzigo. Nina nfugu zangu wawili wamepitia same steps na waliombwa hela in the process ya kutumiwa laptop na simu.
@EdomRaphael@FestoNgadaya how non lab testers for HIV are preventing lab technician employment. However I am still supporting the argument of increased opportunities for lab technicians for improved health. Kuna wamama wajawazito kibao huko peripheral mpaka wanajifungua wanakua hawajapima hata Hb
@EdomRaphael@FestoNgadaya Definitely my point- we need more access to this .In some parts of the world self testing is very prevalent and there is no problem at all. I think more arguments should be tailored to advocating for the need of more lab technicians for improved healthcare I personally don't see
@Ngoloma7Master@FestoNgadaya Ninachomaanisha unisaidie Naomi yako kuhusu namna ambavyo HIV testing na malengo yake yanaweza kuwa achieved vila non lab testers.
Pili kwanini unataka non lab testers waondolewe kwenye HIV testing services?
@Ngoloma7Master@FestoNgadaya Na kubaliana kabisa na hoja kwamba serikali iongeze ajira za lab- wanahitajika sana na umuhimu wao haupingiki ni obvious. Tujenge hoja hapo na tuseme jinsi upungufu huu unavoadhiri quality ya care pia na mambo mengi yanayoathiri utoaji wa huduma za maabara kwa ubora
@Ngoloma7Master@FestoNgadaya Zinasoma HIV counselling and testing na hizi huduma pia zimeorodheshwa kwenye job description ya kada zaidi ya maabara: tukianza mjadala wa nani mmiliki wa hii huduma bila kulenga maslahi mapama ya quality ya care ni changamoto maan lengo la huduma za afya ni kutoa huduma
@Ngoloma7Master@FestoNgadaya How?
I am not trying kupingana na nyie kupambania taaluma yenu, you are totally right however nimecomment kwenye Hill kwasababu nahisi haliweki kipaumbele umuhimu wa huduma stahiki kwa jamij, limelenga zaidi kwamba hii huduma ni mali yetu.
Mimi nina zijua kada kadhaa zinasoma HIV
@Ngoloma7Master@FestoNgadaya 90 percent ya walio positive waanzishiwe matibabu. Je tukitoa non HIV testers hili ni posible kwa kutumia maabara pekeake?
Na kwa maoni yako unadhani kwenye kada za afya ni posible kitokua na majukumu yankada zote bila mwingiliano na tunatoa huduma stahiki na bora kwa jamii?
@Ngoloma7Master@FestoNgadaya na chief complains zao na counseling inaanza kufanyika ili wawe tested : hapa tukisema non tedterd wa HIV walishe hili litakaaje?
Pia malengo ya HIV ya hivi karinuni ni 90/90/90
Yaani tufikia malengo ya kuwacounsel 90 percent ya wote tunaowahudumia hospitali, 90 percent wapate
@Ngoloma7Master@FestoNgadaya Mh! We unasuggest nini @ Ngoloma. Mi nadhani hii mijadala ni muhimu sanaaa kwa maslahi mapana ya ubora wa huduma za afya. Ukiwa na hoja ni vizuri ikae mezani
@FestoNgadaya picha ya namna hili linavyoweza kuwa na ufanisi wa kuhakikisha huduma bora ya HIV testing haiei affected.
Nilikua najaribu kuwaza jinsi hili linavoweza kuwa kwenye ground bila kuhusisha non lab testers which are currently ithe individuals carrying this role mostly
@UMassWalker Thanks for highlighting these important questions Dr. Walker. I can't agree enough with these questions. I will book mark these because I have a context that is very relatable!