WAZOHILL ONLINE FAST FOOD | FULL DELIVERY
Tunapika – Tunapaki – Tunaleta hadi mlangoni kwako!
Call / Text / WhatsApp: +255 789 08 19 72
Unataka chakula kitamu bila kutoka nyumbani, kazini, au kwenye sherehe?
HALI HALISI BAADA YA AJALI YA LORI WAZO HILL - MAGENGENI
Baada ya ajali ya lori iliyotokea katika eneo la Wazo Hill – Magengeni siku ya tar 10/05/2025, hali imeendelea kuwa ya huzuni na taharuki kwa wakazi wa eneo hilo.
another day and other dollars ||||| KELVIN MTUI - jumaa tulivu .
All is well, Happy Good Friday 🔥🔥🔥
🗣 Endelea kufuatilia page yetu 🤳 ya TEGETA WAZOHILL upate kufahamu juu ya fursa na taarida mbalimbali.
TUNAUZA TANK ZA KUWEKEA MAJI ZA LITA 1,000 | PIA TUNA MAPIPA, NDOO NA VITU VINGINE VINGI.
Call/Text/WhatsApp: +255 789 08 19 72
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @joackbagamoyo@afyakiganjani@joackagrovet @joackanimalclinic
BMW X3 FUNGUO NIKO NAZO MIMI
NJOO NA BEI YAKO
MWENYE GARI ANASAFIRI KWENDA NJE KWA MUDA MREFU.
Mawasliano
Call/Text/WhatsApp: +255 789 08 19 72
🗣 Endelea kufuatilia page yetu 🤳 ya TEGETA WAZOHILL upate kufahamu juu ya fursa na taarida mbalimbali.
OFA PUNGUZO KUBWA LA BEI ZA INCUBATOR | MASHINE ZA KUTOTOLESHEA MAYAI
Call/Text/WhatsApp: +255 714 63 63 75
Ofa free Drinker free Feeder
Muda wa kazi: 07:00am Asubuhi - 11:00pm Usiku
MBOLICO WELDING WORKSHOP | WE PROVIDE TOP QUALITY WELDING SERVICES COMBINED WITH FANTASTIC UNIQUE DESIGN OF DIFFERENT STRUCTURES.
TUNATOA HUDUMA YA KUTENGENEZA BIDHAA ZOTE ZA CHUMA (KUCHOMELEA) KATIKA MITINDO TOFAUTI TOFAUTI.
Call/Text/WhatsApp: +255 789 08 19 72
Mt 7:7-11 SUV
"Ombeni, nanyi mtapewa; tafuteni, nanyi mtaona; bisheni, nanyi mtafunguliwa; kwa maana kila aombaye hupokea; naye atafutaye huona; naye abishaye atafunguliwa. Au kuna mtu yupi kwenu, ambaye, mwanawe akimwomba mkate, atampa jiwe? Au akiomba samaki, atampa nyoka?
Asilimia 70% ya pesa iliyopo kwenye mzunguko wa mambo ya saloon za wanawake inachangiwa na wanaume.
Kwa mantiki hiyo basi, hii sekta inalipa kwasababu ya ushawishi wake wenye nguvu.
Mapenzi ya yoyote yakizidi sana (yawe ya kindugu au kirafiki) huwa yanaambatana au viugomvi vidogo vidogo na vihasira, sio kila ugomvi ni ugomvi na sio kila hasira ni hasira bali ni mapenzi yamezidi.
Hii ajali ilitokea siku ya Christmass 25/12/2024 huyu dereva bajaji alitaka kupenya hapo.
Hivi kwanini madereva bajaji wengi wanapenda kupenyapenya.. nisaidieni majibu.
Have blessed 🙏 day Wazo ni yetu sote Kuza uchumi Kazi kwanza Vumbua fursa za mtaa.
Huu mziki uko sokoni bei 80,000/= location Kisanga
Simu: 0789 08 19 72
Huyu bwana ana ngoma nyingi sana na ana tuzo nyingi africa anajua sana kuimba.
Have blessed 🙏 day Wazo ni yetu sote Kuza uchumi Kazi kwanza Vumbua fursa za mtaa.