Kalenda ya Mafunzo ya Muda Mfupi kwa Mwezi April, 2025.
Kwa Mahitaji ya Mafunzo na kwa maelezo zaidi, tafadhali wasiliana nasi kwa namba za simu zilizotolewa kwa kila kozi.
Picha za Kwaya ya Chuo cha Utumishi wa Umma katika uzinduzi wa albamu ya nyimbo za kizalendo ya kwaya ya Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. Hakika nyinyi ni wazalendo wa kweli!
Kaimu Mkuu wa Chuo na Afisa Mtendaji Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania, Dkt. Ernest Francis Mabonesho akifungua Mafunzo Elekezi kwa watumishi wapya 59 kutoka Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS).
THIRD ROUND APPLICATION FOR ADMISSION INTO BACHELOR DEGREE PROGRAMMES 2023/2024
1. Bachelor Degree in Secretarial Studies and Administration
2. Bachelor Degree in Records, Archives and Information Management.