@julip202 Go to that firm and learn management. Ni muhimu sana. 3 yrs are enough, it can be less if you are fast, and focussed. Waeleze wazazi unahitaji uzoefu wa kitaa!
I can guide you dm if interested
@FatmahShokat Maambukizi ya VVU yapo juu sana, UKIMWI umepungua sana, maana dawa zipo na ni bure. Hata hivyo kuwa na maambukizi sio kuoza! ! !
Pima, Jitambue, Ishi!
@julip202 Course zote zina kazi! Ni sisi tu kuamini kazi ni Tanzania tu. Ufaulu wetu pia unatulazimisha kuendelea kusubiri ajira TAMISEMi. Dunia ni kijiji!
@julip202 Upo nyuma sana ndugu yangu. Bado unapima HIV kwa macho?
Anyway, zama hizi, HIV ni kama kwenda mbinguni, "unaemdhani mtakatifu haendi, usimdhani ndie mfungua geti la mbinguni"
Kujibu swali lako, HAKUNA!
@julip202 Its very good course, kama unaufaulu mzuri na una passion na research, tafuta chuo cha nje, kasome masters then join research centres za huko. Na hii ni kwa wote waliosoma natural science.
@harrison_herry Kwa maoni yangu, sio sifa kuweka hela bank. Hela inatakiwa izunguke, itengeneze nyingine. Kuwa na account nyingi ni dalili nzuri pia.
We need to understand the money game!
@julip202 Mambo yamebadirika, nenda IVF clinic, hata kairuki unauwezekano wa kupata mtoto. Usiache mtu bora maishani mwako kwa mambo yanayotaturika kisayansi!
Watu bora wamepungua sana, tuwashikirie tunapowapata!
@TMnyama4_ Katika maamuzi maishani, tujitahidi kuona ni lipi lianze. Mfano, kufa sio swala la kuchagua, woote tutakufa, kwa nini sasa ukimbilie kitu ambacho kipo tu, tena haijulikani kama kina manufaa yoyote?
We will all die, haraka ya nini? Unaijua kesho yako? Jitahidi kuiona kesho yako!