The Home Of East African Celebrities.
๐น๐ฟ๐ฐ๐ช๐บ๐ฌ๐ท๐ผ๐ง๐ฎ๐ธ๐ธ๐จ๐ฉ ๐ธ๐ด All celebrities meet here! Pls click๐.To ๐ฅ Interviews & Debates. Join us Now!โคต๏ธ
Viongozi wa Afrika walipokutana nchini Indonesia kwenye Indonesia Afrika Forum II. Nchi ya Indonesia ni 16, kwa Uchumi Duniani na imewakusanya Viongozi wote wa Afrika nchini kwao na wakaenda. Je, Afrika haina rasirimali zake ambazo inaweza kuzivuna na kujinufaisha nazo?
Viongozi wa Afrika walipokutana Mjini Roma nchini Itali kwenye Italy-Africa-Summit. Ni kiasi gani cha rasirimali Fedha kinachotumika kwenda kwenye Mikutano nje ya Mataifa yao ya Afrika? #Itali_Africa_Summit
Je, kila mmoja ana mipango yake isipokuwa Nchi za Afrika zenyewe? Tupe mtazamo wako Mwana Afrika Mashabiki kwenye hili la Viongozi wa Afrika na mipango yao? Rekodi ya Nchi 53 za Afrika zakutana nchini China kwenye #FOCAC2024 .
โI am Nigerian because a white man created Nigeria and gave me that identity. I am black because the white man constructed black to be as different as possible from his white.
But I was Igbo before the white man came.โ ~ Chimamanda Ngozi Adichie
Vijana 116 wa CHADEMA waliokuwa wanaelekea Mbeya katika siku ya vijana Duniani na kukamatwa Kihesa-Kilolo, Iringa sasa wanashikiliwa central police - Iringa katika jengo hilo pichani. Vijana wote wamechanganywa ,wanawake na wanaume. Morali yao ipo juu sana na hawaogopi. ๐ช๐พโ๐พ