Habari Mtanzania
Je, unafahamu chimbuko la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi UVCCM...
Kwa muendelezo mzuri bonyeza link hapo chini kufahamu chimbuko la UVCCM
https://t.co/SiCIuS4LHj
Atakumbukwa kama Shujaa wa Afrika. Alipigania uhuru wa Bara la Afrika na alijitoa muanga hata baada ya Tanganyika kupata uhuru hakuchoka kulipigania bara la Afrika. Mwalimu Julius Nyerere.
#Thegreen_21#TanuruLaMaarifa#TunaoneshaNjia
Baba wa Taifa aliweka bayana ya maadui wakubwa wa Taifa letu ikiwa ni pamoja na Ujinga maradhi na Umaskini
Mafundisho yake yalieleza falsafa yake ya kuwahimiza Watanzania kufanya kazi na kuepuka Umasikini. Alipigania Sana ukombozi wa kifikra na kupanda mbegu ya kujitegemea.
*Maendeleo tunayoyataka ni yatakayo wagusa watu moja kwa moja yawe ni yakuwasaidia wananchi kupata huduma bora za kijamii Kama maji, umeme, afya barabara pamoja na elimu lakini pia kuimarisha kilimo, biashara na viwanda.*
#Thegreen_21#TanuruLaMaarifa#TunaoneshaNjia
Katika kumbukizi ya Mwalimu Nyerere tunamengi ya kuzingatia.
Uchumi wa kujitegemea ndio nguzo pekee ya kufanya nchi ijiendeshe yenyewe kisiasa, kijamii na kiuchumi pia.
Tanzania itajengwa na Watanzania pekee.
#Thegreen_21#TanuruLaMaarifa#TunaoneshaNjia
Serikali ya Samia suluhu lengo lake kuu ni kuhakikisha wananchi wa Tanzania wanaishi maisha Bora kwa kuwapatia huduma Bora na zenye uhakika na kujenga Uchumi imara, jumuishi na Shindani.
Hali bora ya wananchi ni pamoja na kupata huduma bora za kijamii ikiwa ni pamoja na Elimu, Afya, makazi, miundombinu wezeshi, maji na mengineyo. Serikali bora ni ile inayojua kipaumbele cha wananchi wake.
#Thegreen_21#TanauruLaMaarfa#TunaoneshaNjia
WITO WA MAMA: KWA VIONGOZI WOTE WA UMMA.
Rais wa JMT na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan.
Uapisho wa Viongozi Wateule, Ikulu - Dodoma.
Septemba 13, 2021.
#kaziinaendelea#CCMApp
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKISHIRIKI UZINDUZI WA MKAKATI WA UELIMISHAJI NA UHAMASISHAJI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2022 UWANJA WA JAMHURI JIJINI DODOMA https://t.co/EYXFe3jPiD
1/3
#NUKUU: Sehemu ya hotuba ya Rais wa JMT ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan akihutubia umma katika Uzinduzi wa Mkakati wa Uelimishaji na Uhamasishaji wa Sensa ya Watu na Makazi 2022 Leo Septemba 14, 2021 katika viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma.
#CCMApp
2/3

3/3

Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Daniel Chongolo atakuwa na Ziara ya Kikazi Mikoa ya Lindi, Mtwara, Ruvuma na Njombe akiambatana na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kuanzia tarehe 15-21 Sept 2021 yenye dhima ya kuimarisha Chama na kukagua Miradi.
#CCMApp
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akishiriki katika maadhimisho ya siku ya Demokrasia duniani katika ukumbi wa Diamond Jubilee, Jijini Dar es Salaam https://t.co/1mcvw7RD8m
Tukiangalia kwenye makusanyo ya kufikia September 1/2021 karibu bilioni 63 zilikusanywa, Mh. Rais alisimama imara na hatimaye karibia vituo 220 vilipata fedha hizo, Pia karibia madarasa 500 zimeelekezwa fedha hizo hiyo yote ni sehemu ya kuchochea na kuimarisha maendeleo endelevu.
Kwa upande wa wa Jimbo la Konde mkoa wa Kaskazini pemba wilaya ya micheweni Ndug: Mbaruku Habibu ameteuliwa kuwa mgombea wa CCM na kampeni zitazinduliwa Tarehe 24 September 2021, Ambapo naibu katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar atakuwa mgeni rasmi wa uzinduzi huo.
Kampeni Rasmi za Uchaguzi kwa Jimbo la Ushetu zitaanza Rasmi tarehe 25 septemba 2021, Ambapo naibu katibu mkuuu wa Chama Cha Mapinduzi ambae ni mlezi wa mkoa wa Shinyanga atakuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa kampeni hizo.