@Kisadoyx@AmRosalinee Ngoja nikupe wengine ukiachana na hao mbona hao wazuri tu kuna hawa jamaa wa NIDA aisee ni watu wa hovyo sana kuwahi kukutana nao kuna wengine tena ni hawa wa NIDA nao jau vile vile wa mwisho pia ni NIDA jau sana hizo taasisi tatu nilizo taja