๐ Katika Sales & Marketing, kupiga simu kwa wateja huitwa kwa majina mbalimbali kulingana na lengo la simu:
๐น Prospecting โ Kuwatafuta na kuwasiliana na wateja wapya.
๐น Cold Calling โ Kupiga simu kwa mteja ambaye bado hujawahi kuwa na mahusiano naye.
Kuna watu wanafanya Kazi ya Sales & Marketing kuna Bonus, target n.k hizo nje ya Mshahara wake mkuu sasa unakuta mtu kwa mwezi kafanya mauzo makubwa Bonus tu inakuwa mtiti kuliko hata mshahara wake ๐๐พ๐๐
Kuna jamaa nambebaga kwenye Bodaboda kumpeleka kazini daily aliniambia analipwa 500K kajenga na mke ni mama wa nyumbani ana watoto wa 2 anasomesha boarding bado najiuliza hivi inawezekanaje.๐ค
@master_plan6 Kuna watu wanafanya Kazi ya Sales & Marketing kuna Bonus, target n.k hizo nje ya Mshahara wake mkuu sasa unakuta mtu kwa mwezi kafanya mauzo makubwa Bonus tu inakuwa mtiti kuliko hata mshahara wake ๐๐พ๐๐
My November 2026 Analysis
-Mafuta yapande bei
-Mfumuko wa Bei uongezeke
-Gold i-bottom isiendlee kushuka
-Crypto ziwe weak and ituongezee muda wa kuzinnua
-Hisa za bongo ziendlee kuto perform kutokana na Mfumuko wa Bei
Kama nchi ina Katiba na sheria, dini ina kanuni zake, kampuni ina sera zake, basi wewe kama mtu unayejenga maisha, fedha na biashara zako, unahitaji kuwa na Personal Constitution (Katiba Binafsi) na Personal Principles (Kanuni Binafsi za Maisha).
As a man, you need to build relationships with:
1. Doctors
2. Lawyers
3. Investors
4. Accountants
5. Police officers
6. Fitness Coaches
7. Real estate dealers
8. Various business owners
Your network is your net worth.
A BIG THANK YOU to our legendary friend, @ElonMusk, for his incredible generosity in giving SpaceX Stock to millions of American children through TRUMP ACCOUNTS! This is exactly what was envisioned when we created TRUMP ACCOUNTS โ Bringing together the GREAT PRIVATE SECTOR, Elon and so many more, to invest in our children, by far our greatest and most important asset, and give every American Child a piece of the American Dream. Thank you Elon! President DONALD J. TRUMP
As a man, by age of 30 you must have:
1. Passport.
2. Driverโs license.
4. An active bank account.
3. At least $20,000 in savings.
5. A smart phone and laptop.
6. A baby even if youโre not married.
7. One stable source of income.
What have you achieved so far?
๐ Katika Sales & Marketing, kupiga simu kwa wateja huitwa kwa majina mbalimbali kulingana na lengo la simu:
๐น Prospecting โ Kuwatafuta na kuwasiliana na wateja wapya.
๐น Cold Calling โ Kupiga simu kwa mteja ambaye bado hujawahi kuwa na mahusiano naye.
#TajiriLaKihaya
Ukweli mchungu ni kwambaโฆ
Kama mwanamume, hakuna anayekujali.
Si mke wako, si familia yako, si marafiki zako, si wenzako kazini, HAKUNA.
Watu huonekana kama wanakujali, lakini moyoni mwao, hawajali.
Uko peke yako. Daima uko peke yako!
PAMBANA๐ฏ
#TajiriLaKihaya
Ukweli mchungu ni kwambaโฆ
Kama mwanamume, hakuna anayekujali.
Si mke wako, si familia yako, si marafiki zako, si wenzako kazini, HAKUNA.
Watu huonekana kama wanakujali, lakini moyoni mwao, hawajali.
Uko peke yako. Daima uko peke yako!
PAMBANA๐ฏ