Kumbe watu wakikupa hela au kukulipa, au Kukukopa wananuia "Mambo yao"
Mweeh kumbe hii dunia tunajiendea endelea tuu.
Haha ndio maana mtu anashindwa kulipa mkopo wa 1m na anaishika mara kibao mpaka riba inafika 8m wanapita na gari yake 😳
BRO TO BRO…
Kama bado unajitafuta kwenye haya maisha kaa usome hii mpaka mwisho.
Hakuna anayekufundisha haya shuleni.
Na ukielewa haya mapema utajiokoa miaka mingi ya kupoteza muda.
Twende hatua kwa hatua…
A Thread:🧵
Leo ni June 1.
Pengine umechoka kusubiri.
Umechoka kuomba.
Umechoka kuamini.
Lakini kumbuka,
Mungu hachelewi.
Wakati mwingine kile kinachoonekana kama delay kwako, huwa ni preparation kwake.
Na mara nyingi majibu makubwa huja baada ya kipindi kirefu cha ukimya.
GM ..
Umasikini unadhalilisha sana, Umasikini unaua ndoto za watu, Umasikini ni mzigo, Umasikini unatesa watu, Umasikini unazika matumaini ya watu.
Tumuombe sana Mungu atufanyie wepesi kuukata mnyororo wa umasikini.
Good morning hustlers 👊🏾
@joshuamsuyatz Life Begins At 40…..
unaezakua Na Characters Zote ULizotaja Apo Kumbe Ajuaye Ni Muumba Peke ake…. Ktk 42/43/44 ukatoboa! SwaLa Kuu Live Ur Life! Achana Na Pressure , acha Kujifananisha Kwakua Hatuezifanana Hata siku 1! Na Muda Wako Ukifika Utafika PaLe ULitakiwa Kuwa!
Usipokuwa makini na maisha ya mjini… Kitakulamba!
Unaweza kushtuka una miaka 40 huna investments, bado umeajiriwa na bado unaomba-omba kupandishiwa mshahara.
Mwisho wake?
Unaanza kukwepa marafiki kuficha reality ya maisha yako.
Matatizo makubwa ya maisha ya mjini ni haya:
1. Mazoea
2. Kujifananisha na watu
3. Kutaka matokeo ya haraka bila mchakato
Mwanadamu ameumbwa ku-adapt mazingira yake.
Ukipata kazi au mchongo unaokuwezesha kulipa kodi, kula na ku-survive… Ni rahisi sana kuridhika.
Miaka inaanza kwenda bila kushtuka.
Kijana kuajiriwa akiwa na miaka 27 then akakaa sehemu moja miaka 7–10 bila growth ni kitu cha kawaida.
Swali: Uta grow vp kama kila siku unarudia changamoto zilezile?
Tatizo lingine la mjini…
Unaona mafanikio ya watu, lakini hauoni mchakato uliowafikisha hapo.
Unaona gari, maisha mazuri, pesa, lifestyle…
Lakini huoni pressure, discipline, failures, sacrifice na miaka ya iliyotumika kutengenza hayo maisha.
Vijana wengi wanaishia kuhadaika.
Wanatafuta shortcut za kuishi “picha ya mafanikio.”
Mwisho wake wanaingia kwenye madeni, wanapoteza trust ya watu, na wanaishia kuishi maisha ya pressure na comparison.
Maisha ya mjini yanaweza kukumeza kimya kimya…
Ukikosa direction, vision na discipline.