Hizi ni kodi na ushuru wa serikali kwa gari ndogo tu Crowne.
Fikiria kijana ambae ameanza maisha hapa Dar, kutokana na adha ya usafiri anajibana ananunua kagari ka usd 6,000 ambazo ni sawa na 14 m.
Hiyo gari ikifika inatozwa ushuru mwingine wa 14 m, yaani fikiria ushuru unalingana na ununuzi wa gari!!!
Yaani gari Machuma yote, engineering iliyopo pale kwenye gari unanunua bei sawa na ushuru wa mtu ambae amekaa ofisini tu na anakuchaji hela yote hiyo!!!!
Wakati mwingine kodi zinakua bei juu kuliko manunuzi!!!!
Huyu kijana awe mkulima au mfanyakazi, anafanya kazi ngumu sana kupata hiyo fedha, then inachukuliwa hivi…
Alafu baada ya mda CAG anasoma ripoti kwamba uwanja ulitakiwa kujengwa kwa bilioni 187 baadae ukajengwa kwa bilioni 337..
Mara umekaa unaambiwa kuna eti Waziri anatumia gari binafsi ya bilioni 2, unajiuliza mtumishi wa umma ametoa wapi bilioni 2 kununua gari na mshahara wake unafahamika, au anamiliki nyumba tano za thamani ya bilioni tatu, nne au tano… aniliki mashamba ya mabilioni, amempa mama mkwe wake nyumba ya bilioni tano na gari la kutembelea la milioni 500.
Pesa zote hizi za mlipa kodi anaeumizwa kiasi hiki na mzigo wa kodi…
Hapa nimesema magari tu, Ukienda kwenye kila kitu kinachoingizwa na kutoka Nchini ni mzigo wa kodi na maumivu kwa Mwananchi..
Na mwisho wa siku badala hizi fedha zitumike kwaajili ya maendeleo yetu zinaishia kwenye mifuko ya vibaka.
Hakuna barabara, hakuna maji, hakuna umeme.. Maisha magumu , mishahara duni hasa kwa walimu na manesi.
Hatuwezi kukubali kuwa watumishi wa vibaka wanaopora mali za umma.
🚨 FREE GIVEAWAY WORTH $550 🚨
Natoa 5 FREE spots kwenye hii BLACK FRIDAY
✅ Utapata Free Training and Guidance
✅ Utapata Access kwenye Integral Community
@grok select 5 peoples from the comments after 72hrs
Kupata nafasi Fanya hivi 👇🏽
Like ❤️
Repost 🔄
Tag 3 Traders
@Ramaahjm@lawcharsfx1 Kabisa. Lazima iwe rahisi kuconnect nao maana hutoki kapa ila kwa Tz traders utasubiri kuona yupo kwwnye deep profit ndo anapost bad enough hakuna hata maelezo yoyote.
@lawcharsfx1 Well said. Newbies wamepungua sana siku hizi nahisi sababu kuu ni ukosefu wa maarifa sahihi kuhusu soko na pia uwepo/wingi wa fake traders au tuwaite wapigaji. All in all tunaweza kuanza sasa na kufanya makubwa zaidi kuanzia level binafsi na community nzima bado hatujachelewa.👊🏿
We should change and have a healthy community
Hayo mambo tuwaachie traders wa Instagram 😅
Alafu ni vile mentors tunaona kwamba kuna uhaba wa wanafunzi, ndiomana figisu mixer tambo za hapa na pale 😂
..