@BirungiMargret5 The guy is runing Mad π€£π€£π€£π€£he is confused like all asernal players are and this is the way they loose title we LOVE IT πππ
@officialBlackHa @George_Ambangil Yet unasema shida Amorim na kakutana na watu wa namna hii πππwafanya maamuz wamechanganyikiwa January hii team ina wachezaji wa aina hii wapo Kimyaa watu wanasajili huko na vikos vyao viko bora bado huoni tatizo
@George_Ambangil @officialBlackHa Broo watu wamechanganyikiwa yan mtu anakaa kabisa anaamin Ruben alikuwa ndo tatizo umemjibu vyemaa hapo juu na aliemleta bado analeta mauza uza. πππ
@George_Ambangil Nilisema kama umecheza soka hakuna shida no 10 kucheza no 8 majukum yanafanana kabisa haswa soka la kisasaβ¦!! Mtu kama Dalot kichwa cha kumu akil kisoda CB Dorgu ya. Tuna viande wengi mnoo kuliko tunavyotizama Teamβ¦!!!
@George_Ambangil Ma goal tunafungwa ya style ile ile tunarud pale pale team yetu ina matizo mengi zaid ya walimu, leta mwalim mletee watu sahihi afu ndo um Judge mwalim, we ticha kaja anaunga unga bado tunalia lia mara hv mara vileβ¦!!
@George_Ambangil Ruben mzee wa kuchezesha watu wrong position kaondoka tunategemea makubwa from now i hope kila mtu atachezeshwa position sahihi sasaβ¦!!!
@George_Ambangil Ili aje tuue carrier yake naeβ¦!??? πππTurekebishe kwanza Juu mwalim mwenye akil hawez kuja fundisha United ya kuwa controlledβ¦!!!
@George_Ambangil Afu bado tunamsema kocha tizama mentality hizo za wachezaj tuko naoβ¦!!! Wenzake wana shambulia yeye anaomba mpiraa urudi nyuma na angepewa angepiga kwa Goalie kabisaa ππππukiachana na yote still tuna wachezaj viande saanaa