Lakini wakenya nao hukuwa creative sana๐Kuna video nimeona ya huyu jamaa alikuwa anaibia watu then DCI kumshika jamaa ikabidi ametoa ma*vi moto akaanza kupaka hao mapolisi๐ Comment section nayo imenibamba vibaya
Here is a thread of those funny comments ๐งต
Open video๐๐