Mapema Leo tulizungumza na wasichana wa shule ya Heri sekondari Jijini Dar es salaam juu ya ugonjwa wa saratani ya Mlango wakizazi, elimu inayoratibiwa na the GOODWILL FOUNDATION.
#Patachanjo, #Chunguzaafya, tokomeza saratani ya malango wa kizazi
@ummymwalimu@elimuyaafya
THE TEAL RIBBON CAMPAIGN ni kampeni inayolenga kuelimisha watu juu ya saratani ya shingo ya kizazi na jinsi ya kuzuia na kupambana nayo.
KARIBU TUJUMUIKE PAMOJA KATIKA KAMPENI HII PALE HERI SECONDARY SCHOOL SIKU YA JUMAMOSI 29.04.2023
#ThereIsCanInCervicalCancer#HeriSecSchool
THE TEAL RIBBON CAMPAIGN ni kampeni inayolenga kuelimisha watu juu ya saratani ya shingo ya kizazi na jinsi ya kuzuia na kupambana nayo.
KARIBU TUJUMUIKE PAMOJA KATIKA KAMPENI HII PALE HERI SECONDARY SCHOOL SIKU YA JUMAMOSI 29.04.2023
#ThereIsCanInCervicalCancer