Nahashon Kimemia, hapa Lower Wendani kumenyesha lakini darasa lazima tuingie. Hivyo basy naomba ukae kimya nikupee za kahasho ili ujifunze kuheshimu mipaka.
Numero uno, whether Sifuna is a good leader or a bad leader, hiyo ni shauri yetu sisi supporters wake. Kama ni mbaya, why are you so much concerned about his welfare yet you can use the chance to market your candidate?
Numero mbwekse, hakuna kikosi inaitwa Sifuna bloggers hizi streets, sisi ni Sifuna Online Defence Forces na hakuna mahali Sifuna hata anajuana na sisi. Na ujue sisi we don't do cordinated attacks, apana, sisi kila mtu anakuja na stylo yake. No one can control us, not even HE himself.
Numero utat, umesema Sifuna anabelittle Kalonzo, wakati huyo jamaa alikuja mkutano yetu kutuambia Sifuna is not yet a presidential candidate, tulimtuma aseme hivyo? Of course the answer is no, lakini kwa sababu unaogopa kufikiria, hiyo ndo message mmeambiwa WhatsApp mkuje kusema hapa. Moreover, si huyo Kalonzo juzi ameenda Yemen kushout vile yeye hajapigwa mawe kama wale wengine. Ama unadhani wale wengine ni kina Wavinya na Maryanne? Sisi apana nyanya yake buana lazima tukataze yeye tabia ya kisenge.
Numero cuatro, na hapa sasa ndio nataka unielewe msuri ili nisijirudie tena. There is no an individual called Sifuna, that is a collective name, which means the 18 million of us who believe in his ideology. Sasa next time address sisi tupatane mundu khu mundu.
And last but not least, whether you ndikni or you kindni, HE EDWIN WAKENYA SIXTHFUNA SHALL BE THE 6TH PRESIDENT OF THE REPUBLIC OF KENYA. Geukia huyo jirani yako hapo umwambie WANTAM na jina usiulize, yeye ndio Sifuna. Khabusie
Ju kazi imekosa kabisa,
nani ako na Electricity related firm{ fundi wa stima ama Simu/Lapi} anipee free learning opportunity na place ya kulala, nitajitaftia chakula please 🙏🏿🙏🏿
Nikue namfanyia kazi as I learn too.
[email protected]
0791158980
RT widely please 🙏🏿🙏🏿.
Lakini tbh maisha ilikua imenitwanga hapa. I was in the pits man. Hapa Mtupombe alikia ameniitia job ya haraka.
I pray for all those seeking jobs to find it.
Kila siku nakwambia vitu but you bald forehead ni kama ilifika maximum point of digesting wisdom to your medulla oblangata. Sasa evening lessons haikuangi na mambo mingi, nataka uniskize fsuri.
Numero uno, the unifying agent in these elections apana hiyo squad umetaja hapo, hapana, ile kitu imetuunganisha ni kitu inaitwa katiba na economic revolution. Na kwa sababu ile maneno tunataka kutimiza inataka ipdated memory, ndio maana tunasema hiyo wazee wote umetaja hapo waende nyumbani waingie advisory team ya Sifuna, iwinjo maber?
Numero mbwekse, hiyo fire unasema itakua sparked ishaanza na kuzimika yake ni Kasongo akienda Kamiti, hao wazee umetaja waende retire na Sifuna aende state house, anything else is rejected on arrival.
Numero utat, na hapa unshike msuri. Hiyo generational division unajaribu kuleta hatuwezi kubali ifike hapo sababu even my shosh of 78 years ameniambia pia yeye ni Sifuna. Maybe wewe na hiyo wazee akina hiyo speaker ya jbl na huyo kalonzo ndo sio Sifuna, lakini hata your beloved wife alinishow jina nisiulize, yeye anaitwa Sifuna.
Sinia kanso naona ni kama lesson pia wewe ilikupita, na sina budi kurudia ili tuelewane.
Numero uno, respect is earned and not demanded. Si huyo presidential candidate wenu alikuja kutuambia Sifuna sio presidential candidate aty bado ni party leader, sasa shida inatokea wapi tukiretaliate.
Numero mbwekse, unlike Kalonzo who pronounced himself fit for the seat, Sifuna is a people appointed candidate, kwa hivyo HE MUST BE ON THE BALLOT. Kila mtu auze sera ya kwao.
Numero utat, na hapa ndo nataka uskize msuri, hakuna mtu anaitwa Sifuna. Sifuna ni sisi wote and whenever he is attacked, we are attacked. We will always defend him anytime bila kuangalia nyinyi ni nani, sababu sisi ndio Sifuna.
Back in 2023 nilikuwa na Caicedo flani alikuwa ananiokolea in unofficial matches, but sasa hakuwa na training fiti sana hata ikifika some position kama center back, hawezi drop back kuhelp in defense, back yake inainuka juu kama bow so inakuwa hard ku build attack from behind...
Just in muthurwa,naona tulikukaribisha opposition juu ulifukuzwa ukamea pembe. And for that reason, you need our classes right now bila kupoteza wakati.
Numero uno, naona ni kama waliabduct mtoto wako kumrudisha wakachukua akili yako sababu kuna mahali hujatushika msuri kabisa. Round hii presidential candidate ni people chosen, na hakuna mahali tushaikaa na wewe tukadiscuss kwamba tunaeza kupea hiyo kiti.
Numero mbwekse, your influence is as low as your brain cells na ndio maana ulishindwa kudeliver kura za nyumbani kwa by elections. Sasa kama ulishindwa by elections na hapo ni nyumbani, do you think someone outside your gate even knows whether you're a presidential candidate?
Numero utat, huyo Kalonzo unaendorse sisi hatujakataza yeye kusimama. Anaeza simama na ukue deputy wake we care less. Kama Wajackoya alisimama na bangi zake, pia nyinyi mnaeza simama ndo mtuondolee jam mara moja in our political space.
Numero cuatro, na hapa ndio nataka usome kwa nguvu. Sisi wananchi tumeamua rais wetu wa awamu ya sita ni HE EDWIN WAKENYA SIXTHFUNA na lazima atapita whether you ndikni or you kindni we don't care. Geukia huyo nepo kid wako umwambie WANTAM na jina usimuulize, na juu najua hujui, yeye ndio Sifuna