Karibu Young Africans SC Kocha Mkuu MANQOBA MNGQITHI
๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐ฐ
#TimuYaWananchi#DaimaMbeleNyumaMwiko
Hongera @fistonmayele9 kwa kufunga bao lake la kwanza kwenye Fainali za Kombe la Dunia. Ameandika historia kwa kuwa mchezaji wa kwanza kuwahi kucheza Klabu yetu na Ligi Kuu Tanzania kufunga bao katika Fainali za Kombe la Dunia. ๐๐๐
#TimuYaWananchi#DaimaMbeleNyumaMwiko